Pelosi, Nancy Pelosi
1950-1953 China na marekani walikutana kwenye vita vya Korea mpaka General MacArthur akatishia matumizi ya nyuklia baada ya kukutana na mfupa mgumu.
Mind you 1950 ni mwaka mmoja toka China ya wakomunisti ijitangazie kuwa China sasa ni taifa huru 1949 kukuongezea zaidi wakomunisti wa China walikuwa na jeshi dhaifu lilitoka kwenye mapinduzi na vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa zaidi ya miaka 20 ni kama ilivyo M23 kwa mbaali.
Pia usisahau mpaka miaka hiyo ya 1950-1953 maeneo kama Tibet,Xinjiang,Taiwan,Kinmen, Matsu,Penghu yalikuwa bado hayaja kombolewa na wakomunisti vita vya ukombozi bado vilikuwa vinaendelea.
Kwa urahisi ni kuwa marekani ilikutana na jeshi la China dhaifu sana katika Korea lakini kazi waliyokutana nayo ni MacArthur pekee ndie anayejua mpaka kutishia Nyuklia