China kuanza kutumia Mwezi wake

Kwa nini usikubali tu hujui kitu NASA ndo inamonitor mwendo wa dunia ,kwa hiyo nasa ndo inamonitor aerospace za urusi na na china ,

Utoto Mwingi Sana wewe MBWEHA ,Hivi unajua Aerospace? Kujua Ku Google nawe unajifanya mtaalam? 😀 😀 😀 😀 nyinyi ndio shule mlikuwa mnajifanya wajuaji wa madesa halafu mtaani mmepigika na madesa yenu kichwani.....Narudia kusema tena ka google majukumu ya NASA utoe tongo tongo za kukariri.
 
Hamna mtu mshenzi km mchina, wahamie huko kwenye mwezi tu.
Wameleta balaa hizi sindano chanjo tunatandikwa saa hii dunia nzima.
Hawa mbuzi wanatakiwa wawe na dunia yao.
Washanilisha konokono,mijusi na minyoo bila kujua.
Nimesamehe ila hunikuti tena, chinese restaurant unaweza kula hata nyama ya mtu.
 
Kuna watoto watazaliwa duniani mpaka wanakufa hawajaona giza
 
Wew kichwani umejaa matope kweli NASA ni agency ya marekani inakuwaje unaihusiha na taifa lingine, halafu usinifananishe na wew ,naweza kukuweka nadani na ukoo wako wote, Mkala na kusaza
 
Wew kichwani umejaa matope kweli NASA ni agency ya marekani inakuwaje unaihusiha na taifa lingine, halafu usinifananishe na wew ,naweza kukuweka nadani na ukoo wako wote, Mkala na kusaza
Bora mie matope wewe kimejaa "VIMA" ,kwani NASA ikiwa Agency ya US ndio inazuia kumonitor UFO? Wewe kweli kichwa Maji ,unazidi kujionyesha ulivyo Kichwa BOX.

Mara nyingi watu wanaodandia treni kwa mbele(Kujifanya wajuaji) wanakuwa na stress za kupigika! Mtu mwenye maisha hawezi kupayuka kama wewe BOYA!! Wewe mwenyewe fedha ya kula tu inakushinda ndio uhudumie Ukoo? Tafute Fedha wewe MBWEHA hasira zikutoke.
 
Haya yote ni Maandalizi ya Mkuu wa ulimwengu
 
Wanataka kuuza bizaa kama Mungu aliyo toa bure

Wachina kwenye teknolojia nawakubali sana, hususan kwenye ujenzi, vitendea kazi, usafiri n.k..in short nawanyooshea mkono hawa super power, hadi western countries wanawapiga vita...ila kwa hili la mwezi wanakosea sana na wanamkosea Mungu, siwasapoti aise!
 
Wew ndo kiaza unatumia nguvu nyingi kutukana ukiwa nyuma ya keyboard
 
Hapo naona wanafanya kitu kitakacho wasaidia kupata watalii wengi kwenda kuangalia mwezi wa kutengenezwa.
 
Wapo kasi na techlogia hadi wanakula vitu ambavyo huku ni vyaajabu
 
Ucha UKENGE wewe MBWEHA ,soma what is NASA ndio uje kukenua MENO hapa JF.......NASA hawalali 24hrs kwa ajili ya kuwalinda MAJINGA kama NYINYI.
Mjinga kama mimi nalindwaje na hao NASA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…