Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Uwekezaji ni nini?Kuuza chapati ni uwekezaji?
Uwekezaji ni nini?Kuuza chapati ni uwekezaji?
Ule ni uchuuzi, inatakiwa ufanywe na wazawaSasa kwanini mnawalalamikia wachina kufanya biashara Kariakoo? Hii dunia ni moja tufanye tunayoyaweza mengine tuwaachie wenzetuk
😆😆😆😆Nyie malofa hamna mnachoweza kuendesha wenyewe?
Kugawa majiko ya gesiKila kitu muwekezaji sisi tunaweza lipi sasa
Mkuu unakumbuka ya TRL na wahindi?Naskia WACHINA(CCeCc) walipojaribu kuchunguza reli ya Tazara na kukuta Haina viwango na ni chakavu yamkini Bado inatumika waliliaa sanaa hadi macho yakazidi kutumbukia ndani.
Nadhani wapewe tu ili wafufue TAZARA.
View attachment 3277446
Mtu mweusi anachoweza kufanya sana ni mbinu na ghilba za kushinda uchaguzi, hakuna zaidi. Samia sasa hivi anahaha kweli kweli kufanya kila njia ili aweze kubakia kwenye madaraka baada ya 2025. Wangekuwa na juhudi za namna hii kwa mambo mengine Afrika ingefika mbali.Katika vitu ambavyo wazungu wana haki ya kusema sisi Waafrika hatuna akili, wazembe, mafisadi na tumekalia uzinzi na ulevi, ni jinsi Zambia na Tanzania tulipoifikisha TAZARA
Kuna maeneo mengi sana ambayo yalikuwa bora zaidi mkoloni alipoondoka Tanganyika kuliko yalivyo sasa. Ngozi nyeusi haina ustaarabu wa kukarabati na ku-maintain, si nyumba zetu binafsi au miradi ya umma. Mtu anakaa nyumba yake miaka zaidi ya 10 hata kurudishia rangi haoni uhitaji, kuta chafu, chooni hakufai, na ni nyumba yake binafsi. Tazara siku hizi chooni unawekewa ndoo za maji. Hata SGR baada ya muda itakuwa hivyo hivyo.
Wazungu waliondoka Zimbabwe wakaacha iko safi kama Ulaya. Nenda leo ukaone mitaa na majengo ya Harare yalivyo machafu. Johannesburg hivyohivyo, sio ile tena iliyokuwa ya Kaburu.
Kama Depiwodi ya mwarabu.Hata 100 we shida yako si usafiri mzuri?
Nenda kwenye sheria ya uwekezaji ya Tanzania utajuaUwekezaji ni nini?
Wewe kubwa la malofa unaweza kuendesha kipi hasa?Nyie malofa hamna mnachoweza kuendesha wenyewe?
Kipaumbele kwa sasa ni kumsifia Mama hayo mengine kama kubadilisha taa zilizoungua kuziongelea tu utaambiwa una chuki au utaambiwa ni Mdini.Kweli kabisa angalia hata daraja la Nyerere la kwenda kigamboni kipindi tunakabidhiwa lilikua usiku linawaka taa mbalimbali za urembo safi kabisa. Leo taa zimeungua tumeshindwa kurudishia sijui tunaweza nini.
Sisi tunaweza kushabikia simba na yangatu nothing else!.Kila kitu muwekezaji sisi tunaweza lipi sasa
27 itaisha deni litakua bado ndipo itakapochukuliwa mazima. Mikopo ya china kwenye miundombinu huwa haiishi asilani
Mkuu Tazara haikua hivi, tuliachiwa ikiwa ni kibuyu Cha asali ila tumeshindwa kuendesha na baadhi ya Mali za taraza zime binafsishwa kwa manufaa ya vingunge, ajira nyingi na biashara nyingi zmepotea zilizotegemea Tazara, Hii inadhihirisha hata iweje hatuwezi kuifufua Bora waje tu hao wachina.Mkuu unakumbuka ya TRL na wahindi?
Hawa umewapima kuwa na uadilifu gani hadi kuwafurahia namna hiyo?
Tukianza kusema nchi hii imeuzwa, tunaonekana ni watu tunaopinga kila kitu.
Kiuhalisia kama tumeshindwa kuiendesha wenyewe, hao siyo wajomba zetu kusema watatuletea taafifu yoyote zaidi ya kujinufaisha wenyewe.