China kuendesha TAZARA kwa miaka 27, Uwekezaji wa dola bilioni 1.4 kuanza

China kuendesha TAZARA kwa miaka 27, Uwekezaji wa dola bilioni 1.4 kuanza

Katika vitu ambavyo wazungu wana haki ya kusema sisi Waafrika hatuna akili, wazembe, mafisadi na tumekalia uzinzi na ulevi, ni jinsi Zambia na Tanzania tulipoifikisha TAZARA

Kuna maeneo mengi sana ambayo yalikuwa bora zaidi mkoloni alipoondoka Tanganyika kuliko yalivyo sasa. Ngozi nyeusi haina ustaarabu wa kukarabati na ku-maintain, si nyumba zetu binafsi au miradi ya umma. Mtu anakaa nyumba yake miaka zaidi ya 10 hata kurudishia rangi haoni uhitaji, kuta chafu, chooni hakufai, na ni nyumba yake binafsi. Tazara siku hizi chooni unawekewa ndoo za maji. Hata SGR baada ya muda itakuwa hivyo hivyo.

Wazungu waliondoka Zimbabwe wakaacha iko safi kama Ulaya. Nenda leo ukaone mitaa na majengo ya Harare yalivyo machafu. Johannesburg hivyohivyo, sio ile tena iliyokuwa ya Kaburu.
Ukoloni ulituharibu vibaya sana, waafrika sijui tunashida gani asee kweli inaumiza sana, yani mtu mmoja kununua vichwa 40 ya sinotruck anaamua kuhujumu reli ili malori yake yafanye kazi yani reli iliyojengwa kwa billions of money inakufa hivi hivi tunaiona 😔😔😔
 
Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) imetangaza kuwa Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) itachukua usimamizi na uendeshaji wa reli hiyo kwa kipindi cha miaka 27.

Makubaliano haya, yenye thamani ya Dola bilioni 1.4 yatatoa fursa ya kurekebisha miundombinu ya reli na kuboresha ufanisi wake.

Mkurugenzi Mtendaji wa TAZARA, Mhandisi Bruno Ching'andu amesema sehemu ya uwekezaji utajumuisha ukarabati wa reli, pamoja na ununuzi wa vichwa vipya na mabehewa. Hatua hii inatarajiwa kuboresha usalama na kupanua uwezo wa usafirishaji wa abiria na mizigo.

Mkataba huu wa miaka 30 utalenga kutoa huduma bora zaidi na kudumisha operesheni za TAZARA. Serikali za Tanzania na Zambia zinatarajia kuwa mradi huu utaongeza biashara na kuimarisha usafiri kati ya nchi hizi mbili.

Kampuni ya CCECC itasimamia uendeshaji wa reli hiyo kwa miaka 27 ijayo, huku TAZARA ikifanya kazi kwa karibu kuhakikisha utekelezaji mzuri wa mradi huu.

Chanzo: Habari Leo
Inashangaza sana kwa jinsi tunavyoshindwa kuendesha mambo yetu hata yale madogo madogo na kulazimika kuwapa wale waliojenga miundombinu hivyo miaka 60 iliyopita watusaidie!
 
Mkurugenzi Mtendaji wa TAZARA, Mhandisi Bruno Ching'andu

20 March 2025

Press Release: CCECC to Invest USD 1.4 Billion in TAZARA for Revitalisation​


CONSTRUCTION%20WORKERS.jpg

The Managing Director and CEO of the Tanzania-Zambia Railway Authority (TAZARA), Eng. Bruno Ching’andu, announced at the Zambia International Mining and Energy Conference (ZIMEC 2025) in Kitwe, Zambia, that the China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) will invest over USD 1.4 billion in TAZARA to revitalize the railway infrastructure and operations.

Eng. Ching’andu made this announcement in a presentation to a gathering of investors and industry experts at ZIMEC 2025, including key stakeholders from the mining and logistics sectors, who are TAZARA’s primary customers.


Eng. Ching’andu shared that although the negotiations were still ongoing, he was happy to disclose that the investment will be executed under a 30-year concession arrangement, marking a significant step toward transforming TAZARA into a more efficient and reliable transport corridor. This partnership is expected to address the railway’s declining performance and restore its operational efficiency.


Key Investments Under the terms of the proposed agreement, CCECC will undertake the following key investments:
  • USD 1.0 billion – For full rehabilitation of TAZARA’s railway track infrastructure, enhancing safety, efficiency, and capacity.
  • USD 0.4 billion – For procurement of 32 brand-new locomotives and 762 new wagons, significantly increasing freight and passenger transport capacity.
  • Periodic major overhauls, alongside continuous maintenance, will be conducted throughout the concession period to ensure long-term continuity and sustainability.
Concession Structure:
  • The 30-year concession period will be structured as follows:
  • First 3 years – Dedicated to construction and rehabilitation.
  • Remaining 27 years – Full operational management to ensure long-term sustainability.
Strategic Importance of the Concession
Eng. Ching’andu, who pointed out that the negotiations were almost concluded, explained that the decision to grant a concession follows an in-depth evaluation of TAZARA’s challenges over the years, which necessitated urgent intervention. The Public-Private Partnership (PPP) model was chosen after extensive due diligence to ensure alignment with TAZARA’s long-term vision and the interests of its shareholders.

As the concessionaire, CCECC will focus on:
  • Immediate rehabilitation of the railway track and supply of rolling stock to establish a strong foundation for success.
  • Covering operational costs through concession fees payable to TAZARA.
  • Efficiently maintaining and operating the railway system while ensuring uninterrupted service delivery.
  • Handing back fully rehabilitated assets at the end of the concession period.
A New Era for TAZARA
Eng. Bruno Ching’andu emphasized the significance of this milestone:
“This concession will mark the beginning of a new era for TAZARA. The investment from CCECC will not only restore our railway infrastructure but also position TAZARA as a key enabler of trade and economic growth between Tanzania and Zambia. Through this strategic partnership, we are ensuring that TAZARA remains a competitive and sustainable transport solution for the region.”

TAZARA remains committed to collaborating with all stakeholders to ensure a smooth transition and the successful implementation of this revitalization project. This initiative is expected to enhance regional trade, reduce transportation costs, and improve connectivity across the Dar es Salaam corridor.

Source : TAZARA
 
KITWE, Zambia MAMLAKA: ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) imetangaza kuwa Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) itachukua usimamizi na uendeshaji wa reli hiyo kwa kipindi cha miaka 27.

Makubaliano haya, yenye thamani ya Dola bilioni 1.4 yatatoa fursa ya kurekebisha miundombinu ya reli na kuboresha ufanisi wake.Mkurugenzi Mtendaji wa TAZARA, Mhandisi Bruno Ching'andu amesema sehemu ya uwekezaji utajumuisha ukarabati wa reli, pamoja na ununuzi wa vichwa vipya na mabehewa. Hatua hii inatarajiwa kuboresha usalama na kupanua uwezo wa usafirishaji wa abiria na mizigo.

Mkataba huu wa miaka 30 utalenga kutoa huduma bora zaidi na kudumisha operesheni za TAZARA. Serikali za Tanzania na Zambia zinatarajia kuwa mradi huu utaongeza biashara na kuimarisha usafiri kati ya nchi hizi mbili.Kampuni ya CCECC itasimamia uendeshaji wa reli hiyo kwa miaka 27 ijayo, huku TAZARA ikifanya kazi kwa karibu kuhakikisha utekelezaji mzuri wa mradi huu.
 
Kuna haja ya kutawalia tena.. Tumeshindwa kujiongoza, sio kwamba hatuna akili, watu weusi uzalendo, uwajibikaji, ubinafsi ndio chamgamoto kubwa.
 
Kweli kabisa angalia hata daraja la Nyerere la kwenda kigamboni kipindi tunakabidhiwa lilikua usiku linawaka taa mbalimbali za urembo safi kabisa. Leo taa zimeungua tumeshindwa kurudishia sijui tunaweza nini.
Heee! Hivi zimeungua hawajarudishia! Tena unaweza kukuta wala hazijaungua, ni kurekebisha kitu kidogo tu lakini hakuna anaejali
 
Mkuu unakumbuka ya TRL na wahindi?

Hawa umewapima kuwa na uadilifu gani hadi kuwafurahia namna hiyo?

Tukianza kusema nchi hii imeuzwa, tunaonekana ni watu tunaopinga kila kitu.

Kiuhalisia kama tumeshindwa kuiendesha wenyewe, hao siyo wajomba zetu kusema watatuletea taafifu yoyote zaidi ya kujinufaisha wenyewe.
Mchina ana historia kubwa sana na hiyo reli ya TAZARA usifananishe na hao matapeli kanjibahi​
 
CHINA NA MAREKANI WANAPIMANA UBAVU ENEO HILI LA NCHI ZA SADC HUSUSAN ZAMBIA, DR CONGO, ANGOLA

TOKA MAKTABA :

04 December 2024
Benguela, Angola

Makamu wa Rais wa Tanzania Dr. Philip Isdori Mpango kumuwakilisha rais Samia Hassan, uzinduzi Lobito Corridor Angola
1742495977651.jpeg

Dr. Philip Isidori Mpango (picha) amewasili Benguela nchini Angola kumuwakilisha rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dr. Samia Suluhu Hassan katika uzinduzi wa mradi wa Lobito Corridor ambao marais Joe Biden wa Marekani, rais wa Angola waheshimiwa João Manuel Gonçalves Lourenço , Rais Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DR Congo, Rais Hakainde Hichilemawa Zambia wote watakuwepo katika hafla hiyo inayofuatiliwa na ni gumzo ulimwenguni kote kuhusu uwekezaji mkubwa wa Marekani kuipiku China katika eneo hili la bara la Afrika.

Leo tarehe 04 December 2024 Rais Biden atakwenda Lobito, Angola kwa Mkutano wa Kilele kuhusu uwekezaji wa miundombinu katika eneo hilo la ukanda / ushoroba wa Lobito Corridor na viongozi kutoka Angola, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Tanzania na Zambia.
1742496200621.jpeg


Mradi wa reli ya Lobito corridor utakavyokatiza, utakaofaidika na mapesa matrilioni ya shilingi za kitanzania ambazo zimetangazwa na kuhakikishiwa wakati wa a ziara ya rais Joe Biden nchi ya Angola, na pia mbali ya rais wa Angola pia watakuwepo viongozi wa DR Congo, Tanzania na Zambia wakati wa uzinduzi wa mradi huo leo .
1742496017943.jpeg

The Lobito Corridor
 
Nakumbuka jinsi lile jengo la abiria la TAZARA lilipokamilika lilivyobadilisha kabisa taswira ya jiji la Dar es salaam. Eneo lile liling'aa utadhani uko China. Lilisifiwa kuwa jengo la abiria la mfano Afrika Mashariki.... Kilichofuata hakieleweki hadi leo. TAZARA imekuwa mali ya wapigaji yaani wafanyakazi wa ngazi zote kazi ni moja tu Chukua Chako Mapema.
 
Back
Top Bottom