The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,232
Ni jambo jema kwanza walichelewa kupewa,
Sisi tunataka huduma bora hata wakichukua milele hao ni ndugu zetu27 itaisha deni litakua bado ndipo itakapochukuliwa mazima. Mikopo ya china kwenye miundombinu huwa haiishi asilani
Hovyo kama sisi wale wamekalia ulevinao wenzetu wa zambia kwani nao wanasemaje juu ya hilo?
Umesema ukweli mtupu ndugu. Wapewe milele, sisi tukusanye kodi ila huduma iwepo.Sisi tunataka huduma bora hata wakichukua milele hao ni ndugu zetu
Ngono na majunguKila kitu muwekezaji sisi tunaweza lipi sasa
Shida inaanzia kwenye katiba na utawala wa sheria. Kuruhusu ujomba ujomba kwenye kazi ndo matokeo yake hayo.Ukoloni ulituharibu vibaya sana, waafrika sijui tunashida gani asee kweli inaumiza sana, yani mtu mmoja kununua vichwa 40 ya sinotruck anaamua kuhujumu reli ili malori yake yafanye kazi yani reli iliyojengwa kwa billions of money inakufa hivi hivi tunaiona 😔😔😔
Lack of sense. Mbona hayati shujaa wa Africa aliweza kuendesha nchi na hata mashirika ya umma yakaanza kunyanyuka? Tumia ubongo we kengeUmesema ukweli mtupu ndugu. Wapewe milele, sisi tukusanye kodi ila huduma iwepo.
Emirates na Qatar Air wanatamba dunia nzima lakini management ni wazungu. Hakuna muarabu ana muda na mambo magumu
Yule mpumbavu ndiyo unamuita shujaa wa Africa? Africa ipi? Maana hata Sinza kuna Afrika Sana.Lack of sense. Mbona hayati shujaa wa Africa aliweza kuendesha nchi na hata mashirika ya umma yakaanza kunyanyuka? Tumia ubongo we kenge
Duu sawaMamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) imetangaza kuwa Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) itachukua usimamizi na uendeshaji wa reli hiyo kwa kipindi cha miaka 27.
Makubaliano haya, yenye thamani ya Dola bilioni 1.4 yatatoa fursa ya kurekebisha miundombinu ya reli na kuboresha ufanisi wake.
Mkurugenzi Mtendaji wa TAZARA, Mhandisi Bruno Ching'andu amesema sehemu ya uwekezaji utajumuisha ukarabati wa reli, pamoja na ununuzi wa vichwa vipya na mabehewa. Hatua hii inatarajiwa kuboresha usalama na kupanua uwezo wa usafirishaji wa abiria na mizigo.
Mkataba huu wa miaka 30 utalenga kutoa huduma bora zaidi na kudumisha operesheni za TAZARA. Serikali za Tanzania na Zambia zinatarajia kuwa mradi huu utaongeza biashara na kuimarisha usafiri kati ya nchi hizi mbili.
Kampuni ya CCECC itasimamia uendeshaji wa reli hiyo kwa miaka 27 ijayo, huku TAZARA ikifanya kazi kwa karibu kuhakikisha utekelezaji mzuri wa mradi huu.
Chanzo: Habari Leo