China kujenga rada ya ubora wa juu duniani ili kulinda vizuri sayari ya Dunia

China kujenga rada ya ubora wa juu duniani ili kulinda vizuri sayari ya Dunia

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
China imeanza ujenzi wa mfumo mpya wa rada utakaokuwa na uwezo wa kufuatilia kwa kina masuala ya anga za juu kwa lengo la kulinda vizuri Dunia.

Mfumo huo mpya pia utaongeza uwezo wa ulinzi wa nchi hiyo dhidi ya sayari ndogo zilizo karibu na Dunia, na uwezo wake wa kutathmini mfumo wa Dunia na mwezi.

Kituo hicho kinachojengwa katika Manispaa ya Chongqing, kusini magharibi mwa China kimepewa jina la China Fuyan, ikimaanisha mdudu mwenye macho mengi. Kwa mujibu wa rais wa Taasisi ya Teknolojia ya Beijing, Long Teng, timu ya watafiti wametoa jina hilo kutokana na mfumo wa rada kuhusisha antenna nyingi, sawa na mdudu mwenye macho mengi.
1657607967232.png

1657607977539.png
 
Asije akalizua jambo huko juu mwisho tuombane msamaha
 
Wakati huo Tz wakiwaza kuijenga nxhi kwahela zafain kazi kuvizia vpkpk
 
Inawezekana Wewe ni mchina uliopo Bongo au umeajiriwa na China kuandika habari zao, habari zako zote za hapa ni China tu. Why?
 
Inawezekana Wewe ni mchina uliopo Bongo au umeajiriwa na China kuandika habari zao, habari zako zote za hapa ni China tu. Why?
Tulia ww, hili ni jukwa la kimataifa, ivi mnaingia kwenye majukwaa bila ya kusoma linahusu nn? Ulikua unataka ziletwe habari za mashoga humu ?
 
Tulia ww, hili ni jukwa la kimataifa, ivi mnaingia kwenye majukwaa bila ya kusoma linahusu nn? Ulikua unataka ziletwe habari za mashoga humu ?
Wewe mtu inaonekana unanitafuta siyo?, Nilisha hacha kujibizana na Wewe lakini naona unanitafuta tu. Sasa unachokitafuta utakipata.
 
Wewe mtu inaonekana unanitafuta siyo?, Nilisha hacha kujibizana na Wewe lakini naona unanitafuta tu. Sasa unachokitafuta utakipata.
Kipi hicho, ww ukileta zakuleta tutakuambia ukweli acha ujinga
 
Back
Top Bottom