Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Swali gani - je, wewe ni Mmerikani labda tuanzie hapo?wewe ni mchina?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali gani - je, wewe ni Mmerikani labda tuanzie hapo?wewe ni mchina?
baada ya chanjo za Makampuni ya Bill Gates (Oxford-AstraZeneca) kuonekana ni usanii mtupu.
Una mawazo mafupi sana kama hujui kuwa pesa zote zinazotumika kwenye miradi mbalimbali ya maendeleo kutoka World Bank na IMF ni za Marekani. China haijawahi kutoa msaada wowote Tanzania labda ile reli ya Tazara; wao wana ujinga unaitwa "mikopo ya riba nafuu" lakini kwa collateral za kinyama!! Kenya wamepambana kiume wasinyang'anywe bandari ya Mombasa kutokana na masharti hayo hayo ya kipuuzi!Viwanda vingapi Marekani imewahi kujenga Tanzania na kuongeza ajira kwa vijana, je, ni infrastrure ngapi Amerika iliwahi kiijengeaTanzania (barabara, reli na madaraja), vyuo vya ufundi, Mahospitali, mawasiliano (Voice na data),Mechanised Agriculture and what have you!! Nothing to talk about zaidi ya propaganda zao za kijinga za kuwatuma viongozi wao kuja barani Afrika kuzuga Viongozi wa kiafrika kuhusu ubaya wa ujio wa Wachina barani Afrika.
Kinyume chake USA inaendekeza unafiki wao wa miaka mingi wa kutaka bara la Afrika libaki maskini na tegemezi miaka nenda rudi - mali asili za Afrika zitumike kuendeleza Amerika na Ulaya.
Tangu Wachina waingie barani Afrika hivi karibuni, kila Mwafrika mwenye akili timamu ameshuhudia astronomical development/ maendeleo makubwa kweli kwenye nyanja za viwanda, barabara, reli, mawasiliano, kilimo, vyuo vya ufundi,Mahospitali nk -kitu ambacho mataifa ya magharibi walikuwa wanasuha suha miaka nenda rudi.
Unarudia rudia propaganda zile zile za Uncle SAM - wapi Kenyatta aliwahi kulalamika kwamba China inataka kuwanyanganya Wakenya Bandari ya Mombasa - wapi? tupatie ushahidi, propaganda 24X7 mara Wachina wamewapora Wazambia migodi yao ya shaba, mara Wachina wamewapora wa Sri Lanka bandari, mara Wachina wamewapora Wagriki bandari cha ajabu viongozi wa mataifa hayo wakiojiwa na a truly independent media wabasema madai hayo hayana ukweli wowote ni propaganda za magharibi zenye lengo la kuwaaribia sifa wachina.Una mawazo mafupi sana kama hujui kuwa pesa zote zinazotumika kwenye miradi mbalimbali ya maendeleo kutoka World Bank na IMF ni za Marekani. China haijawahi kutoa msaada wowote Tanzania labda ile reli ya Tazara; wao wana ujinga unaitwa "mikopo ya riba nafuu" lakini kwa collateral za kinyama!! Kenya wamepambana kiume wasinyang'anywe bandari ya Mombasa kutokana na masharti hayo hayo ya kipuuzi!
Mzee naona unachanginyikiwa kuweka list ndefu ya mambo ambayo yote ni mikopo! Siyo misaada! China haijawahi kutoa "msaada" kwa Tanzania; hata Tazara haikuwa msaada per se kwani mojawapo ya masharti yake yalikuwa ni kuwa tununue vitu kama Rexona kutoka china.Nani kakwambia World Bank ni mali ya Gringos,wao ni na majority share holders but they don't own World Bank per se, same applies for IFM.
Kitu kingine TAZARA haikuwa msaada ni mkopo - sina uhakika kama wewe ni Mtanzania! He goes "China haijawahi kutoa msaada wowote Tanzania" - are you serious?
Nani alijenga kiwanda cha UFI Ubungo, kiwanda cha madawancha KEKO, nani alijenga chuo cha maafisa wa jeshi huko Monduli Arusha, Nani kajenga kiwanda cha kuunda magari ya kijeshi aina ya Nyumbu, Uwanja wa ndege za kijeshi Ngerengere kajenga nani, Shamba la kilimo cha mpunga la Mbalali kanzisha nani, Mgodi wa makaa ya mawe wa Kiwira pamoja na uzalishaji umeme mgodini kanzisha nani, kiwanda cha silaha na ammunitions (sitaji wapi) kaanzisha nani, mwanzilishi wa ulimaji mpunga Ruvu JKT ni nani, Chuo cha maafisa wa jeshi Kunduchi katoa msaada nani, uwanja wa mpira wa amani Zanzibar kajenga nani, kiwanda cha sigara Zanzibar, Kiwanda cha sukari cha Mahonda Zanzibar muhusika alikuwa nani, kituo cha Navy Kigamboni nani muhusika - hapo sijazungumzia kuhusu uwanja wa mpira wa Mkapa. Bottom line is: tunapo washutumu/lahumu watu tujifunze kuweka akiba ya maneno - natoa ushauri.
niliuliza hivyo kutokana na andiko lako la kusema mungu ibariki china,badala ya kuliombea taifa lako we unaombea taifa ambalo wewe si muhusika pale na hata mungu mwenyezi akiwasaidia hao wewe hupati chochote ktk msaada huoSwali gani - je, wewe ni Mmerikani labda tuanzie hapo?
Nimesema Uncle SAM ni majority share holder wa World Bank she doesn't own WB per se - does this sound Greek to you or something?Mzee naona unachanginyikiwa kuweka list ndefu ya mambo ambayo yote ni mikopo! Siyo misaada! China haijawahi kutoa "msaada" kwa Tanzania; hata Tazara haikuwa msaada per se kwani mojawapo ya masharti yake yalikuwa ni kuwa tununue vitu kama Rexona kutoka china.
halafu inawezekana pia hujui kuwa karibu nusu ya bajeti yote ya World Bank inatoka Marekani, na iwapo marekani ikisema kuwa benki isitoe misaada kwa Tanzania hakuna atakayefurukuta.!!
hao macho madogo ndo wana roho ya korosho balaaa!! nyie subirini tu! mtanyongwa live!.....heri zungu hili bana tumelizoea tunalipleleka mchakamchaka mara tuliite Beberu...Mkoloni linacheka cheka tu!!lkn mchina?? maskini? mtayamba kifukuto!Mambo yao kimya kimya tu na ya uhakika hawana misifamisifa ya kijinga. Na inasadikika wako mbioni kumpeleka binadamu wa kwanza Mars. Hii kitu inawaumiza NASA sana ndo maana Ellon Musk anaweweseka anataka kupeleka 2026 shauri zake
Safi sana weye dogo unanielewaga wewe!!!....china hana jipya ka copy na ku paste tuWakati unaponda unatakiwa ukumbuke uchumi wa dunia ya leo umetengenezwa na kushikiliwa na Marekani. Marshall plan iliokoa uchumi wa dunia na bado nchi za Asia karibu zote ni Marekani ndio amezibeba kuwa hapo zilipo. China yenyewe unayoimwagia sifa imeendelea kwa sababu Marekani iliamua kuwekeza viwanda vyake pale na hadi leo bado vipo.
China ni kinara wa wizi wa intellectual property kutoka makampuni ya magharibi. Siku Marekani akiondoka soko la China anawabana tu kutumia teknolojia yake na huo ndio utakuwa mwisho wao.
China amesaidia nini dunia hadi sasa?
Wewe vipi bwana. Marekani wameumia zamani. Inaonekana huna taarifa kuwa International Space Station ni mali ya Urrusi. Marekani wana chumba kimoja tu mule ndani na miaka yote walikuwa wakibebwa na vyombo vya Urusi kwenda huko. Mwaka huu kwa mara ya mwanzo ndio wamefanikiwa kwenda kwa chombo chao wenyeweMarekani na washirika wake wanaumia sana China kuja juu katika anga za mbali. Wanatamani tu wafeli au vyombo walivyo tuma vilipuke.
Mwezi huu wa tano chombo cha China kitatua Sayari ya Mihiri Mars. Tayari kimeshaingia Orbit ya Mars ikiizunguka nakuchagua sehemu muafaka ya kutua.
Pia tayari jana China imeshatuma kipande cha kwanza cha space station capsule. Zoezi hili lingeanza mapema lakini Janga la Corona limeichelewesha. China inataka kujenga space station yao ambayo itakuwa tofauti na ile international space station.
Mafanikio haya makubwa ya China katika anga za mbali inawaumiza nakuwauma sana Marekani hawana cha kufanya. Hata kwenye vyombo vyao vya habari kimya.
Elon musk na NASA kelele mingii lakini mwanaume China anafanya mambo ya uhakika kimya kimya.
Sasa hivi wanaombea tu chombo cha China kisifike salama sayari ya Mars.
Mungu ibariki China katika harakati zake za kuchana mbuga kwenye technology
Nanyie kopini kama rahisi mnangojea nn !!!??Safi sana weye dogo unanielewaga wewe!!!....china hana jipya ka copy na ku paste tu
Kama mikopo mingine tulilipa?Nimesema Uncle SAM ni majority share holder wa World Bank she doesn't own WB per se - does this sound Greek to you or something?
One more thing, mind your tirades, in other words learn to agree to disagree without offending anyone - reading between the lines unaonekana mambo mengi unayajua kijuu juu tu au unakuwa driven na rabid hatred of everything CHINESE!
Labda nikukumbushe kitu - mwaka jana Makamu wa Rais wa Uchina alifanya ziara Nchini na kwenda moja kwa moja Chato Geita. Sasa kwenye hotuba ya Dk. Magufuli alimuomba Makamu wa Rais wa Uchina ampelekee ujumbe Ti-Xing-Ping afute mikopo ya ujenzi wa TAZARA pamoja na ujenzi wa kiwanda cha nguo cha Urafiki Ubungo - unataka kusema Rais wa Taifa letu ( Dk. Magufuli R.I.P) alikuwa hajui katika Project zote za Kichina hapa Tanzania tangu uhuru ni zipi zilikuwa za mikopo na zipi zilkuwa ni msaada!! Mbona alitaja mbili tu - what does that tell you.
Kwa hiyo misaada kwako lazima iwe ya tangible assets? Misaada ambayo US (Misaada haswa na si mikopo) iliyotoa katika nyanza ya afya, (ARVs, Malaria, etc) na inayozidi kutoa huioni?Unarudia rudia propaganda zile zile za Uncle SAM - wapi Kenyatta aliwahi kulalamika kwamba China inataka kuwanyanganya Wakenya Bandari ya Mombasa - wapi? tupatie ushahidi, propaganda 24X7 mara Wachina wamewapora Wazambia migodi yao ya shaba, mara Wachina wamewapora wa Sri Lanka bandari, mara Wachina wamewapora Wagriki bandari cha ajabu viongozi wa mataifa hayo wakiojiwa na a truly independent media wabasema madai hayo hayana ukweli wowote ni propaganda za magharibi zenye lengo la kuwaaribia sifa wachina.
Now back to main point - shall we? We nani kakwambia World Bank ni mali ya Gringos,wao ni na majority share holders but they don't own World Bank per se, same applies to IFM, sio fresh kujaribu ku-manufacture lame excuse for Uncle SAM yeye kama Taifa anashindwa kuweka wazi kwamba Serikali ya Amerika imetoa msaada kiasi fulani kusaidia kujenga kiwanda, barabara, vyuo vya ufundi, hospitali nk hivi inaingia akilini kusema eti USA upitisha misaada yake World Bank na IMF - Amigo look, we were not born yesterday.
Kitu kingine TAZARA haikuwa msaada ni mkopo - sina uhakika kama wewe ni Mtanzania! He goes "China haijawahi kutoa msaada wowote Tanzania" - are you serious?
Nani alijenga kiwanda cha UFI Ubungo, kiwanda cha madawa pale cha KEKO, nani amejega na kukabidhi Library ya kisasa pale UDSM, nani kajenga DATA center ya kisasa ya Taifa, nani alijenga chuo cha maafisa wa jeshi huko Monduli Arusha, Nani kajenga kiwanda cha kuunda magari ya kijeshi aina ya Nyumbu, Uwanja wa ndege za kijeshi Ngerengere kajenga nani, Shamba la kilimo cha mpunga la Mbalali kanzisha nani, Mgodi wa makaa ya mawe wa Kiwira pamoja na uzalishaji umeme mgodini kanzisha nani, kiwanda cha silaha na ammunitions (sitaji wapi) kaanzisha nani, mwanzilishi wa ulimaji mpunga Ruvu JKT ni nani, Chuo cha maafisa wa jeshi Kunduchi katoa msaada nani, uwanja wa mpira wa amani Zanzibar kajenga nani, kiwanda cha sigara Zanzibar, Kiwanda cha sukari cha Mahonda Zanzibar muhusika alikuwa nani, kituo cha Navy Kigamboni nani muhusika - hapo sija zungumzia kuhusu uwanja wa mpira wa Mkapa,hapo nimeorodhesha mambo machache kuhusu misaada ya Kichina kwa Taifa letu tangu tupate uhuru - haya sasa wewe orodhesha misaada ya Uncle SAM tangu 1961 todate ili tulinganishe.
Bottom line is: tunapo washutumu/lahumu watu tujifunze kuweka akiba ya maneno - natoa ushauri.
Hatutaki kukopy wao ndo wanatukopy......tatizo lao sasa tukiunda kivyetu vyetu tu wana mwaga sana pesa na kukushawishi uondoke kwa waafrica,,, na ukienda huko kwao sasa!! unapewa nyumba na gari zuriii, kwishne,
Wamekwambia wewe kama inawauma?....shwaini wahedMarekani na washirika wake wanaumia sana China kuja juu katika anga za mbali. Wanatamani tu wafeli au vyombo walivyo tuma vilipuke.
Mwezi huu wa tano chombo cha China kitatua Sayari ya Mihiri Mars. Tayari kimeshaingia Orbit ya Mars ikiizunguka nakuchagua sehemu muafaka ya kutua.
Pia tayari jana China imeshatuma kipande cha kwanza cha space station capsule. Zoezi hili lingeanza mapema lakini Janga la Corona limeichelewesha. China inataka kujenga space station yao ambayo itakuwa tofauti na ile international space station.
Mafanikio haya makubwa ya China katika anga za mbali inawaumiza nakuwauma sana Marekani hawana cha kufanya. Hata kwenye vyombo vyao vya habari kimya.
Elon musk na NASA kelele mingii lakini mwanaume China anafanya mambo ya uhakika kimya kimya.
Sasa hivi wanaombea tu chombo cha China kisifike salama sayari ya Mars.
Mungu ibariki China katika harakati zake za kuchana mbuga kwenye technology