China kupeleka chombo Mars na kuanzisha space station inawauma sana Marekani na washirika wake

China kupeleka chombo Mars na kuanzisha space station inawauma sana Marekani na washirika wake

unafkiri kufa ni sku moja eti? Huawei bdo ipo lakn ndo inaelekea ukngoni hzo cm.

Khs shrka la who fatilia mchango wa marekan ksha uangalie wa china ksha ndo uje upge makelele humu eti halijafa.
Ni mwendawazmu tu ndo anaweza kusema marekan kajtoa shrka flan na halifi.
Inaonyesha ww si mfuatiliaji wa habar za kimataifa baada ya trump kusitisha michango baadh ya mirad inayosimamiwa na who iliathirika lkn shirika halikufa liliendelea na majukumu km kawa na kuhusu huawei kuna baadh ya mirad yake imesitishwa kutokana na mvutano na marekan lkn shirika linaendelea km kawa hususan mrad wa 5g na Jitahid kuandika vizur humu sio fb kijana.
 
Wanakubali tu hivyo hivyo ila inawauma sana. Na ikitokea Mwafrika ama muajemi/iran kwenda Mars watajinyonga kabisa. Ukiona jinsi Marekani walivyoihujumu Huawei wazi kabisa mabeberu wana wivu mbaya sana hasa Marekani ameshindwa kuficha maumivu yake hawa wengine Uingereza ufaransa n. K wanaumia kimyakimya. China kawaweka pabaya sana

Kuna mabeberu weusi humu wamechukia kwelikweli utadhani mzungu ni rafiki yao
 
China ndiyo mwanaume
Umenifanya nifungue zipu niangalie kama dunguso yangu ipo!? Nikaona ipo

Nikaona inaweza ikawepo ila mnara usisome network toka mars..
Imebidi nivute hisia za mars kujarbu koneksheni.. Nikaona rungu kipepe limekubali sheria bila shuruti..
Nimeshusha pumzi za kufuta hofu..
[emoji36][emoji36][emoji36]


NA MIMI NI MWANAUME JAPO SI MCHINA
 
Ukiwa na chuki na Marekani, hata km Russia atatengeneza gari utasema linawatesa Wamerekani.
China alipokuwa anawatesa waislamu na kuwatenga mlikuja juu ila leo amekuwa mzuri. Na hayo yote ni kupunguza machungu.
Naona sasa hivi meweka kambi kwa Iran, Russia na China ili kupunguza machungu.
Unajua kuwa nchi yako inapokea pesa za misaada kutoka Marekani? Unajua kuwa ARV zinatolewa kwa hisani ya Marekani?
Sishabikii nchi yoyote ila ni kiri tu hakuna taifa lenye akili duniani km Marekani.
Makao makuu ya mashirika makubwa makubwa yote duniani yapo Marekani. Kingine ambacho nchi zingine hazijui ni kwamba Marekani anatoa misaada sana.
kama kuambiwa ukweli ndio chuki acha tu tuwachukie ila hatutaacha kuwaambia ukweli
kuhusu kuua watu sio UCHINA tu kuwaua waislam hata IRAN ama SAUDIA wakiwaua wasiokua waislam hatutaunga mkono
kuhusu ARVs kama mtu anapesa zake hawezi kunywa huo msaada mnaoletewa anaenda kufata huko huko mbele nyie mnapewa masumu halaf mnajisifia
kama walikua wanania njema wasingewaletea magonjwa halaf wakajifanya wanaleta tiba
waache upuuzi wajisaidie wenyewe sie hatuna shida na misaada yao yakipuuzi
 
Tatzo dini imewakaa mbele kuliko uhalisia cha ajabu china ina dini yake urusi ni wakristo wa orthodox na uko urus wamejaa wayahudi.

Hawajui marekan akijiweka kando mashrka yote dunian yanakufa hli nalo watabsha.
ndio nyie mnaosema kama watu wanaeka udini mbele mujiangalie mara saba saba wanaeka udini gani wakati mnasema kama wachina wana dini zao

wtu wanaongelea uhalisia wamambo mnaleta blaah blaah

si walijitoa WHO mbona haikufa nawakaamua kujirejesha wenyewe wapuuzi wale
si walijitoa kwa mkataba wa hali ya hewa mboba wakajirejesha namkataba haukufa
si walijitoa kwenye JCPOA mkataba wa nyuklia na IRAN mbna mkataba haukuvunjika na wakajirejesha wenyewe

US ni paper tiger kwasasa hana madhara ajitoe halaf aone kama kuna shirika litakalo kufa

walimuekea mashinikizo gebriesus wa WHO kwamba ni kibaraka wa CHINA mkapiga kelele kama ataondoka yuko wapi


mkipewa facts msitie udini UCHINA hana dini mnavyosema na RUSSIA ni orthodox sijui sasa tunaleta udini gani??
 
watu wa haki za bnadamu waongee nn wkt hao waislamu hawaamin ktk haki za bnadamu wanaamin tawala za namna iyo ndo znazotakiwa hata humu si unaona wanaoshanglia tawala za china ni waislam ksa marekan ni adui wa china wkt huohuo marekan kuna waislamu km wote na hawajawaifanyiwa hayo.
Wacha wagongwe
kwani lazma kila taifa lifuate mfumo anaoufuata US mbona dunia nzima hamuli mlo mmoja hamuvai vazi moja

hamtumii sarafu moja hamlingani kimo


kila mtu aendelee na utawala anaouona unafaa

CHINA na US ni Sovereign states zina haki yakujiamulia mambo yao

kama US hataki mfumo wa utawala unaotawal UCHINA aende akauondoe kwan kazuiwa nanani!?
 
A

Aircraft carrier yenyewe anayotambia sasa hivi sio teknolojia yake, ilikuwa ya USSR. Urusi hali yao ya kiuchumi sio nzuri hivyo inabidi tu wamuuzie china silaha zake japo kwa shingo upande.

Marekani walipojitoa WHO hatukuona Uchina wakitoa tamko la kuziba nafasi kwenye kutoa pesa wao wanachojua ni ujanja ujanja tu.
baada ya kujitoa wangebakia huko huko wamerejea kufanya nn

wangekaa tu wakaona kama WHO ingekua separated ama nn

US paper tiger
 
hata hao wanaotetea mashoga na wasagaji bado mnawapenda walivyo na ngekewa
Kwani wewe huwatetei? Mbona sijasikia ukiandamana wafungwe, watengwe kwenye jumuia au wafanyiwe kitu mbaya.
 
baada ya kujitoa wangebakia huko huko wamerejea kufanya nn

wangekaa tu wakaona kama WHO ingekua separated ama nn

US paper tiger
Utawala mpya umeingia. Alafu WHO mapato yalishashuka sababu US ni wa pili kwa kufund hilo shirika, kiongozi akiwa Bill and Melinda Gates foundation. US wakijitoa kwenye haya mashirika sisi huku pia tutaumia. Kumbuka wamekaa muda mfupi nje ya WHO hivyo madhara yake yalikuwa bado hayajakomaa vizuri na mchina hakuingia kuzipa pengo.
 
Kwani wewe huwatetei? Mbona sijasikia ukiandamana wafungwe, watengwe kwenye jumuia au wafanyiwe kitu mbaya.

Kwanini usianze wewe kuandamana na ndio haswaa wa imani yako. Mfano; ingelikua waislamu tungelikaa kimya!!!
 
Kwanini usianze wewe kuandamana na ndio haswaa wa imani yako. Mfano; ingelikua waislamu tungelikaa kimya!!!
Kwani nimeona wanaonewa ndio niwatetee? Kwanza wameshatetewa na serikali ndio maana walimruka kimanga bashite.
 
Back
Top Bottom