China kupeleka chombo Mars na kuanzisha space station inawauma sana Marekani na washirika wake

Sifa nyng kwa china wkt huawei phones imekufa kibudu sbb technology yao haitosh kutengeneza cm hzo mpk marekan aamue.
 
aache kujisaidia mwenyewe aisaidie dunia ili iweje

us atoe mambo yake ili UCHINA ianguke na kila mmoja ajisaidie mwenyewe

mbna UCHINA inawatesa[emoji38][emoji38]
Ukiwa na chuki na Marekani, hata km Russia atatengeneza gari utasema linawatesa Wamerekani.
China alipokuwa anawatesa waislamu na kuwatenga mlikuja juu ila leo amekuwa mzuri. Na hayo yote ni kupunguza machungu.
Naona sasa hivi meweka kambi kwa Iran, Russia na China ili kupunguza machungu.
Unajua kuwa nchi yako inapokea pesa za misaada kutoka Marekani? Unajua kuwa ARV zinatolewa kwa hisani ya Marekani?
Sishabikii nchi yoyote ila ni kiri tu hakuna taifa lenye akili duniani km Marekani.
Makao makuu ya mashirika makubwa makubwa yote duniani yapo Marekani. Kingine ambacho nchi zingine hazijui ni kwamba Marekani anatoa misaada sana.
 
China ndege zake zote za kvita injini anaweka za urusi tena za kzaman ye anaunda body tu na mengne. Urusi aliwai lalamika kwmb china ananunua siraha zake ksha anapga copy kwa majina mengne mbaya zaid kwa ubora duni. Lakn humu kuna waarabu kwa yombo na wachna wa gongo la mboto wanapga soga china ni htr
 
Tatzo dini imewakaa mbele kuliko uhalisia cha ajabu china ina dini yake urusi ni wakristo wa orthodox na uko urus wamejaa wayahudi.

Hawajui marekan akijiweka kando mashrka yote dunian yanakufa hli nalo watabsha.
 
watu wa haki za bnadamu waongee nn wkt hao waislamu hawaamin ktk haki za bnadamu wanaamin tawala za namna iyo ndo znazotakiwa hata humu si unaona wanaoshanglia tawala za china ni waislam ksa marekan ni adui wa china wkt huohuo marekan kuna waislamu km wote na hawajawaifanyiwa hayo.
Wacha wagongwe
 
Huko israel pia kuna waislamu kbao na wayahudi hawajawai wafanyia ukatili km wachina wanachowafanyia waislam uko kwao. Lakn humu ndugu zng waislamu wanataman marekan ifutike ibaki china.
 
Da! Wachina wana ngekewa sana. Pamoja na kuleta corona duniani, bado wanaombewa baraka.
Ok Mkuu ngoja basi tuwaombee Marekani wanaosababisha vita na mauaji kila siku ktk Dunia.
 
Simu hizi za kujiwasha tochi ukiweka mfukoni? Hizi hizi ambazo hazina update? Km unatumia Lolipop ni hiyo hiyo hakuna update? Watu wapo android version 11 nawe upo 5.
Acha kumshirikisha Mungu kwenye vitu vya kijinga.
Kabla ya kujibu post yoyote soma kwanza uelewe, bila hivyo unakuwa kama unakimbia uchi mchana kweupe
 
A
China ndege zake zote za kvita injini anaweka za urusi tena za kzaman ye anaunda body tu na mengne. Urusi aliwai lalamika kwmb china ananunua siraha zake ksha anapga copy kwa majina mengne mbaya zaid kwa ubora duni. Lakn humu kuna waarabu kwa yombo na wachna wa gongo la mboto wanapga soga china ni htr
Aircraft carrier yenyewe anayotambia sasa hivi sio teknolojia yake, ilikuwa ya USSR. Urusi hali yao ya kiuchumi sio nzuri hivyo inabidi tu wamuuzie china silaha zake japo kwa shingo upande.

Marekani walipojitoa WHO hatukuona Uchina wakitoa tamko la kuziba nafasi kwenye kutoa pesa wao wanachojua ni ujanja ujanja tu.
 
Tatzo dini imewakaa mbele kuliko uhalisia cha ajabu china ina dini yake urusi ni wakristo wa orthodox na uko urus wamejaa wayahudi.

Hawajui marekan akijiweka kando mashrka yote dunian yanakufa hli nalo watabsha.
US alijitoa WHO lkn halijakufa
 
US alijitoa WHO lkn halijakufa
unafkiri kufa ni sku moja eti? Huawei bdo ipo lakn ndo inaelekea ukngoni hzo cm.

Khs shrka la who fatilia mchango wa marekan ksha uangalie wa china ksha ndo uje upge makelele humu eti halijafa.
Ni mwendawazmu tu ndo anaweza kusema marekan kajtoa shrka flan na halifi.
 
Kabla ya kujibu post yoyote soma kwanza uelewe, bila hivyo unakuwa kama unakimbia uchi mchana kweupe
Kwa kuwa ulimuona mama yako anakimbia basi unafikiri wote huwa wanakimbia.
Pole sana myonge maana uwezo wako wa kumiliki simu ni TECNO. Tecno ni takataka km takataka zingine. Ni bora ununue hata Infinix na siyo takataka ya TECNO
 
na kwa taarifa tu china hawatumii tecno wala infinix.
Na kwa taarifa tu soko kubwa sn la iphone lipo china.
Anayebsha aje hapa abshe ujinga.
 
Kwa kuwa ulimuona mama yako anakimbia basi unafikiri wote huwa wanakimbia.
Pole sana myonge maana uwezo wako wa kumiliki simu ni TECNO. Tecno ni takataka km takataka zingine. Ni bora ununue hata Infinix na siyo takataka ya TECNO
اللعنة عليك
heshima ni kitu cha bure,
CHUNGA LUGHA YAKO
 
Duh naangalia ghetto langu kushoto/kulia, naona kila kitu ni made in china
Kwasababu uwezo wako unaishia hapo.
Ni umasikini tu ndiyo unatusumbua. Ukiwa na hela, hizo product za China huwezi kuzigusa.
 
Back
Top Bottom