Ukiwa na chuki na Marekani, hata km Russia atatengeneza gari utasema linawatesa Wamerekani.
China alipokuwa anawatesa waislamu na kuwatenga mlikuja juu ila leo amekuwa mzuri. Na hayo yote ni kupunguza machungu.
Naona sasa hivi meweka kambi kwa Iran, Russia na China ili kupunguza machungu.
Unajua kuwa nchi yako inapokea pesa za misaada kutoka Marekani? Unajua kuwa ARV zinatolewa kwa hisani ya Marekani?
Sishabikii nchi yoyote ila ni kiri tu hakuna taifa lenye akili duniani km Marekani.
Makao makuu ya mashirika makubwa makubwa yote duniani yapo Marekani. Kingine ambacho nchi zingine hazijui ni kwamba Marekani anatoa misaada sana.