China life tight sana

China life tight sana

20231201_213851.jpg

Geto la mwamba mmoja hapo mjini New York, USA
 
Yeah nikweli kumbe mtu unaweza kuwa na gari ila bado unapigika ile mbaya.
Ila jamii haiwezi kukuchukulia hivyo kwasabb ww umetoboa.
1. Una gari
2. Una nyumba hata km umejenga chumba na sebule
3. Una duka 1
Tanzania ukiwa una uhakika wa kula milo 3 na kulipa kodi. Wewe ushatoboa
 
Ni upumbavu tu kufikiria kuna mahali popote duniani na kwenye maisha ya binadamu watakuwa sawa! Hata huko mbinguni tunapoaminishwa ni perfect malaika wanatofautiana influence sembuse duniani. Jaribu kugoogle maana ya social stratification, maisha ya viumbe vyote yanajipanga kutokana na influence ya mhusika kwnye jamii yake. Utakuwa maskini kwa kujiweka mwenywe na utakuwa popote kwa nguvu, maarifa, elimu, urithi, na tqbia yako nk uliyonayo, kila mahali pana watu wa tabaka zote. Na haitakwisha hii! Ukiwa maskini Tanzania hata upelekwe mbinguni utabaki vilevile tofauti ni access tu ya materials. Ukiwa homeless Marekani hata upelekwe Kenya utakuwa maskini vilevile kila wkt mnaleta picha za mateja wa LA na San Francisco, wapi duniani hamna mateja? Na wana tofauti gani? Grow up
 
Sehemu kubwa ya umasikini inasababishwa na sehemu ulipo na si jinsi ulivyojiweka. Janja we ni motivational Speaker, siyo?
 
Sehemu kubwa ya umasikini inasababishwa na sehemu ulipo na si jinsi ulivyojiweka. Janja we ni motivational Speaker, siyo?

Sehemu ulipo hujajiweka? Umefikaje? Mawazo yako yanatafsiri maisha yako siku zote, mawazo ya kimaskini yanauleta umaskini perfectly! Kama unawaza umaskini wa US na China nk na upo Tz utabaki na huohuo kwa level yako ya kitanzania! Simotivate mtu mie na wala sio lengo langu, nakukumbusha tu kutoa mapichapicha ya umaskini wa sehemu nyingine hakuondoi umaskini wako, lalamikia watu usiku ukalale siku zinasonga mbele!
 
Ukomunist ni tofauti na ujamaa!?
Ukomunisti ni usoshalisti uliokomaa...

Ujamaa ni usoshalisti wa kiafrika.

Ukomunisti na ujamaa ni nadharia za kisiasa na kiuchumi zinazoshirikisha mawazo tofauti.

Ukomunisti unalenga kwenye umiliki wa pamoja wa mali na usawa wa kijamii, huku ujamaa ukielekeza kwenye ushirikiano wa kijamii na umiliki wa mali na uzalishaji kwa njia ya serikali au jamii.

Ujamaa mara nyingi huwa na mwelekeo wa kidemokrasia zaidi kuliko ukomunisti.
 
Back
Top Bottom