Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Geto la mwamba mmoja hapo mjini New York, USA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila jamii haiwezi kukuchukulia hivyo kwasabb ww umetoboa.Yeah nikweli kumbe mtu unaweza kuwa na gari ila bado unapigika ile mbaya.
Wachache watakuelewaKatika kusafir kwangu hakuna nchi yenye vyakula kama China aisee. Umesahau china ina watu 1.4 bilion instead Us watu 3.5 milion.
Sehemu kubwa ya umasikini inasababishwa na sehemu ulipo na si jinsi ulivyojiweka. Janja we ni motivational Speaker, siyo?Ni upumbavu tu kufikiria kuna mahali popote duniani na kwenye maisha ya binadamu watakuwa sawa! Hata huko mbinguni tunapoaminishwa ni perfect malaika wanatofautiana influence sembuse duniani. Jaribu kugoogle maana ya social stratification, maisha ya viumbe vyote yanajipanga kutokana na influence ya mhusika kwnye jamii yake. Utakuwa maskini kwa kujiweka mwenywe na utakuwa popote kwa nguvu, maarifa, elimu, urithi, na tqbia yako nk uliyonayo, kila mahali pana watu wa tabaka zote. Na haitakwisha hii! Ukiwa maskini Tanzania hata upelekwe mbinguni utabaki vilevile tofauti ni access tu ya materials. Ukiwa homeless Marekani hata upelekwe Kenya utakuwa maskini vilevile kila wkt mnaleta picha za mateja wa LA na San Francisco, wapi duniani hamna mateja? Na wana tofauti gani? Grow up
Sehemu kubwa ya umasikini inasababishwa na sehemu ulipo na si jinsi ulivyojiweka. Janja we ni motivational Speaker, siyo?
Ukomunisti ni usoshalisti uliokomaa...Ukomunist ni tofauti na ujamaa!?