Mnada wa Mhunze
Senior Member
- Mar 1, 2023
- 168
- 819
Wachina wamenifurahisha sana kwa kuwa wawazi kimsimamo
Kwaiyo China wanapapatua waondolewe vikwazo vya technologia ya sayansi, ndio maana tulikuwa tunawambia humu kwamba China technolojia yake yote aliyonayo ipo chini ya US na kwamba China hawezi kununa na US maana ndie anayemuweka mjini.
Mwanadiplomasia mkuu wa China amesema chanzo kikuu cha msuguano katika uhusiano kati ya China na Marekani ni "mtazamo mbaya" wa Marekani kuhusu nchi yake.
Wang Yi alimwambia Blinken "hakuna nafasi ya majadiliano" juu ya Taiwan, kulingana na taarifa ya wizara ya mambo ya nje ya China baada ya mkutano huo.
Pia aliitaka Marekani kuondoa vikwazo vya upande mmoja dhidi ya China, "ikomeshe ukandamizaji" wa maendeleo ya sayansi na teknolojia ya China, na kutoingilia mambo ya ndani ya China.
"Lazima kuwe na chaguo kati ya majadiliano au makabiliano, ushirikiano au migogoro," amesema
BBC.
Tena US walivyokuwa wahuni yule mama walimpandisha ndege ya Rais Air Force One, ili kama China ataangusha ndege ya Rais wa US kuwe na sababu ya maana kwa US kumshughulikia Mchina lakini wachina wakabaki kuisindikiza ile ndege kwa macho tu, maamaeSi ndo hawahawa walisema Spika wa US asifike Taiwan? Wakawa na mazoezi mazito ya kijeshi? Mwisho wa siku Peros akatua salama na kuondoka salama.
Uwazi uko wapi mkuu mchina analalamika aondolewe vikwazo vya teknolojia ya sayansi, bado tu hujafumbua macho kwamba mchina anaekwa mjini ni US.Wachina wamenifurahisha sana kwa kuwa wawazi kimsimamo
"Eidha majadiliano au walibwage"
Sio kweli, USA ndo anaweka vikwazo Kwa mchina asiuze teknojia yake Marekani na washirika wa china kama vile Irani na RusiaKwaiyo China wanapapatua waondolewe vikwazo vya technologia ya sayansi, ndio maana tulikuwa tunawambia humu kwamba China technolojia yake yote aliyonayo ipo chini ya US na kwamba China hawezi kununa na US maana ndie anayemuweka mjini.
Wanaweza sasa ? Si wameona kauli ya juz ile kuwa china ni muhimu sana , ila USA wakinuna China ananyweaWachina wamenifurahisha sana kwa kuwa wawazi kimsimamo
"Eidha majadiliano au walibwage"
Kwan soko lao ni USA?Sio kweli, USA ndo anaweka vikwazo Kwa mchina asiuze teknojia yake Marekani na washirika wa china kama vile Irani na Rusia
Marekani imepiga ban Huawei, ZTE, TikTok n.kUwazi uko wapi mkuu mchina analalamika aondolewe vikwazo vya teknolojia ya sayansi, bado tu hujafumbua macho kwamba mchina anaekwa mjini ni US.
Nanyie fanyeni reverse kama mnawezaHao wavimba macho ni watu wa Reverse Engineering tu hawana lolote na ni joka la kibisa.
Lakini YouTube, Facebook, WhatsApp, Google zilipigwa ban china kitambo sana. Hii inakula kotekoteMarekani imepiga ban Huawei, ZTE, TikTok n.k
Kitendo cha kuzipiga ban hizo ni ukandamizaji wa maendeleo ya sayansi na teknolojia ya China
Ndicho alichomaanisha Bwana Wang Yi
Blinken ziara yake nchini China kadandia mtumbwi wa vibwengo
Wana hali mbaya ya uchumi hasa deni la taifa na madeni ya wateja wa credit card yamefikia kiwango cha juu sanaUS hali ni mbaya anatapatapa