battawi
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 2,712
- 2,577
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya boss. Miaka 70 hivi iliyopita mlikuwa mnawindwa kama nyani huko porini mkalime mashamba ya mzungu. Mwafrika msahaulifu sana.
Je, Marekani imelipa hasara kutokana na majanga ya H1N1, UKIMWI na msukosuko wa fedha duniani?
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Geng Shuang amesema, Marekani inapaswa kufahamu kuwa adui wao ni virusi, sio China, kwani kama nchi nyingine, China pia ni mwathirika wa maambukizi ya virusi vya Corona.
Geng amesema hayo baada ya Rais Donald Trump wa Marekani jana kusema China inapaswa kuwajibika kwa ueneaji wa virusi hivyo.
Geng amesema virusi ni adui wa binadamu wote, na vinaweza kutokea wakati wowote na mahali popote, na China ni mwaathirika wa virusi hivyo. Ameongeza kuwa, hakuna aliyeiwajibisha Marekani kwa majanga yaliyoanzia nchini humo kama mafua ya H1N1 yaliyotokea nchini Marekani mwaka 2009 na kuenea katika nchi 214 duniani, na kusababisha vifo vya watu laki mbili, na pia mgogoro wa kifedha uliotokea mwaka 2008 nchini Marekani na kusababisha hasara kubwa ya kiuchumi duniani, aidha ugonjwa wa UKIMWI pia ulitokea kwanza nchini Marekani.
Geng amesisitiza tena kuwa, kwa mshikamano na ushirikiano tu, ndio jumuiya ya kimataifa itashinda virusi vya Corona, ameitaka Marekani kuacha kuipaka matope China, na kujishughulisha vizuri zaidi na juhudi za kukabiliana na virusi hivyo.
Us wanajifanya wanafund lakini unajua kwa faida gani?... Ili iwe rahisi kukuwekea vikwazo ukishindwa kuendana na Sera zao.Mkuu Hivi hizi program za UKIMWI anazozifund US Hao wachina hawazioni? Naskia Arvs Ni Bure. Nani anafund? Ni US. Atleast they are trying to correct their mistake not to run away from it.
China has to pay and she has to pay dearly. Kwa kupika takwimu na kuchelewa kutoa tahadhari kwa nchi nyingine kuhusu Corona. Yaani walipe for every life that has been lost na wakikataa hakuna kuwalipa loans zao walizokopesha Mataifa mengine na ikibidi they should be isolated by the international community.
Those communists will try to do a cover up lakini naamini joint investigation itawaumbua.Yaaani wafanyiwe kama alichofanyiwa Germany baada ya Kulost World War 1. Racists China.
Yes Keyboard Warrior.
Chanzo ni Chang dong yu heeMkuu unasimulia utadhani wewe ni msemaji wa serikali ya China ,ungeweka source.ya habari yako ingefana sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ataishia kuwa na hasira tu maana HAWEZI kuwafanya kitu.Trump ana hasira sana na wachina...
So China wanamaanisha ni kweli wanahusika na kusambza corona virus na ndiyo sababu wamekuwa wakwanza kutoa misaada kwa nchi za Africa,siyo?Je, Marekani imelipa hasara kutokana na majanga ya H1N1, UKIMWI na msukosuko wa fedha duniani?
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Geng Shuang amesema, Marekani inapaswa kufahamu kuwa adui wao ni virusi, sio China, kwani kama nchi nyingine, China pia ni mwathirika wa maambukizi ya virusi vya Corona.
Geng amesema hayo baada ya Rais Donald Trump wa Marekani jana kusema China inapaswa kuwajibika kwa ueneaji wa virusi hivyo.
Geng amesema virusi ni adui wa binadamu wote, na vinaweza kutokea wakati wowote na mahali popote, na China ni mwaathirika wa virusi hivyo. Ameongeza kuwa, hakuna aliyeiwajibisha Marekani kwa majanga yaliyoanzia nchini humo kama mafua ya H1N1 yaliyotokea nchini Marekani mwaka 2009 na kuenea katika nchi 214 duniani, na kusababisha vifo vya watu laki mbili, na pia mgogoro wa kifedha uliotokea mwaka 2008 nchini Marekani na kusababisha hasara kubwa ya kiuchumi duniani, aidha ugonjwa wa UKIMWI pia ulitokea kwanza nchini Marekani.
Geng amesisitiza tena kuwa, kwa mshikamano na ushirikiano tu, ndio jumuiya ya kimataifa itashinda virusi vya Corona, ameitaka Marekani kuacha kuipaka matope China, na kujishughulisha vizuri zaidi na juhudi za kukabiliana na virusi hivyo.
Mpaka hapo wameshatajana! Hii silaha imekosea target kidogo. Sometimes miscalcations huwa zinatokea.