CHINA: Marekani iwajibike kwa kueneza UKIMWI Duniani na seasonal flue mwaka 2009 maana chimbuko la H1N1 na UKIMWI ni Marekani

CHINA: Marekani iwajibike kwa kueneza UKIMWI Duniani na seasonal flue mwaka 2009 maana chimbuko la H1N1 na UKIMWI ni Marekani

Si wapigane ngumi sasa,wametuchosha. Huu muda ni wa kutafuta solutions sio kutupiana lawama.Matatizo yapo,tunafanya nini?
Hivi Vick wewe ni kama nani humu duniani ukitoa nafasi yako ya ubinadamu?
 
😂😂😂 Mkuu inaonekana Historia ya Advance Uliifaulu Sana hasa . Yaani Una points ambazo ni Very Primitive.

Kwani mkuu mbona nyie wenyewe mlikuwa mnachukuana watumwa kabla hata Hao wazungu Kuja. Ule ni muendelezo tu.
Utumwa ilikuwa ni biashara ya jamii zote duniani, wazungu wakamatana sana kwenda kusoma mashamba ya matajiri huko Ulaya, soko lilipopungua wakaenda middle East wakawachukua waarabu, Waturuki, Wagiriki nk wakati huko China, Korea, Japan, India na nchi zote huko zilikuwa falme watu wakawa wanauzwa kutoka falme legelege kwenda zile zile zenye nguvu, Afrika napo hivyohivyo,
 
Yalikuwa ni makusudi kwa lengo la kupunguza watu

Mkuu lakini kila mwaka takribani Wamarekani 13000 wanakufa kwa Ukimwi. Yaaani Hiyo Ni wastani wa kila mwaka. Are you saying Marekani ilitengeneza Ukimwi kwa Lengo la kuua Wananchi wake?
 
Mkuu lakini kila mwaka takribani Wamarekani 13000 wanakufa kwa Ukimwi. Yaaani Hiyo Ni wastani wa kila mwaka. Are you saying Marekani ilitengeneza Ukimwi kwa Lengo la kuua Wananchi wake?
Lengo ni kupunguza watu ila kwa sasa watu weusi ndio wanaongoza kwa kufa kuugua na kufa je ni bahati mbaya??

Eugenics Movements wako nyuma ya hili jambo wanaamini sisi watu weusi ni Mentally unfit kwa hiyo wanataka watu watu weupe pure race
 
Nchi yetu haiwezi kuacha/kugomea bidhaa za China maana hakuna kwingine tunakoweza kumudu kununua vitu
It is up to Everyone. Stop buying anything that comes out of CHINA. Only people can boycott them by NOT buying their crap and putting pressure on companies that do by putting them out of business.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lengo ni kupunguza watu ila kwa sasa watu weusi ndio wanaongoza kwa kufa kuugua na kufa je ni bahati mbaya??

Eugenics Movements wako nyuma ya hili jambo wanaamini sisi watu weusi ni Mentally unfit kwa hiyo wanataka watu watu weupe pure race
Leta evidence.
 
Tatizo China kaingia G5 na sim yake ya Huawei kabla ya mzungu,
Tecnorojia ya G5 ndio imeleta corona na test yake imefanyika jimbo la wuhan
Wachina wajua walicho kifanya
Na hii G5 watu watadondoka duniani kama kuku wenye kideli.. Mchina kaharakisha mambo kabla wazungu awajajipanga kuhusu tiba ya corona virus
Wazungu wanajua kila kitu kuhusu G5


Sent using Jamii Forums mobile app
G5 au siyo.
 
Mkuu Hivi hizi program za UKIMWI anazozifund US Hao wachina hawazioni? Naskia Arvs Ni Bure. Nani anafund? Ni US. Atleast they are trying to correct their mistake not to run away from it.

China has to pay and she has to pay dearly. Kwa kupika takwimu na kuchelewa kutoa tahadhari kwa nchi nyingine kuhusu Corona. Yaani walipe for every life that has been lost na wakikataa hakuna kuwalipa loans zao walizokopesha Mataifa mengine na ikibidi they should be isolated by the international community.

Those communists will try to do a cover up lakini naamini joint investigation itawaumbua.Yaaani wafanyiwe kama alichofanyiwa Germany baada ya Kulost World War 1. Racists China.

Yes Keyboard Warrior.
Ili kweli kuonesha kwamba hizo program za UKIMWI ni sehemu ya kuwajibika kwa walichofanya walitakiwa kufanya yafuatayo:

1, Kukiri hadharani kwamba wao ndo chanzo cha ukimwi kuwepo na kuenea duniani.
2. Watueleze sababu zilizowafanya wakitengeneze halafu wakisambaze duniani hasa bara la Afrika
3. Waseme kwanini nguvu kubwa inaelekezwa kwenye kutengeneza dawa za ARVS kuliko kupata kinga au tiba ya jumla
4. Je, ni kweli ARVS na program nyingine za UKIMWI zinatolewa bure au kuna masharti wanawekeana na serikali zetu yenye malengo ya kuwanufaisha wao ki uchumi

Vinginenyo chochote kinachofanyika ni usanii tu kama usaniimwingine
 
Ukimwi walivyotuambia ulianza kwenye nyani huko Drc halafu ukapaa hadi kwa mashoga walioko magerezani huko US ilikuwa haiingii akilini
 
Tuliwapa tahadhari na wachina awa....Dr.Ebright alituonya kuhusu upanuzu na upandishaji wa WIV kutoka BSL-2 mpaka BSL-4 ndani ya muda mchache. Pia huyu Tedro (WHO)kua karibu na China na miradi ya Ethiopia inayojengwa na Wachina.
Chinese virus made from Wuhan.
 
Endeleeni kuparurana tu, tumejua sasa aliyetengeneza HIV ndo huyo huyo anayetengeneza dawa za kufubaza na kujidai kusaidia nchi maskini, sijui atafidia vipi mateso na vifo kwa waathirika wakiwemo yatima, bora hukumu ya Mungu ipite tu maana wanadamu tumekuwa viumbe katili mithili ya mahayawani...
 
Back
Top Bottom