Latrice
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 2,389
- 2,366
Hivi Vick wewe ni kama nani humu duniani ukitoa nafasi yako ya ubinadamu?Si wapigane ngumi sasa,wametuchosha. Huu muda ni wa kutafuta solutions sio kutupiana lawama.Matatizo yapo,tunafanya nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Vick wewe ni kama nani humu duniani ukitoa nafasi yako ya ubinadamu?Si wapigane ngumi sasa,wametuchosha. Huu muda ni wa kutafuta solutions sio kutupiana lawama.Matatizo yapo,tunafanya nini?
Yalikuwa ni makusudi kwa lengo la kupunguza watuMkuu unajaribu kusema Nini?
Utumwa ilikuwa ni biashara ya jamii zote duniani, wazungu wakamatana sana kwenda kusoma mashamba ya matajiri huko Ulaya, soko lilipopungua wakaenda middle East wakawachukua waarabu, Waturuki, Wagiriki nk wakati huko China, Korea, Japan, India na nchi zote huko zilikuwa falme watu wakawa wanauzwa kutoka falme legelege kwenda zile zile zenye nguvu, Afrika napo hivyohivyo,😂😂😂 Mkuu inaonekana Historia ya Advance Uliifaulu Sana hasa . Yaani Una points ambazo ni Very Primitive.
Kwani mkuu mbona nyie wenyewe mlikuwa mnachukuana watumwa kabla hata Hao wazungu Kuja. Ule ni muendelezo tu.
Yalikuwa ni makusudi kwa lengo la kupunguza watu
Lengo ni kupunguza watu ila kwa sasa watu weusi ndio wanaongoza kwa kufa kuugua na kufa je ni bahati mbaya??Mkuu lakini kila mwaka takribani Wamarekani 13000 wanakufa kwa Ukimwi. Yaaani Hiyo Ni wastani wa kila mwaka. Are you saying Marekani ilitengeneza Ukimwi kwa Lengo la kuua Wananchi wake?
It is up to Everyone. Stop buying anything that comes out of CHINA. Only people can boycott them by NOT buying their crap and putting pressure on companies that do by putting them out of business.
Nchi yetu haiwezi kuacha/kugomea bidhaa za China maana hakuna kwingine tunakoweza kumudu kununua vitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchina hamfahamu Mmarekani vizuri. Marekani ataacha historia mbaya sana kwa China ,muda utasema
Leta evidence.Lengo ni kupunguza watu ila kwa sasa watu weusi ndio wanaongoza kwa kufa kuugua na kufa je ni bahati mbaya??
Eugenics Movements wako nyuma ya hili jambo wanaamini sisi watu weusi ni Mentally unfit kwa hiyo wanataka watu watu weupe pure race
G5 au siyo.Tatizo China kaingia G5 na sim yake ya Huawei kabla ya mzungu,
Tecnorojia ya G5 ndio imeleta corona na test yake imefanyika jimbo la wuhan
Wachina wajua walicho kifanya
Na hii G5 watu watadondoka duniani kama kuku wenye kideli.. Mchina kaharakisha mambo kabla wazungu awajajipanga kuhusu tiba ya corona virus
Wazungu wanajua kila kitu kuhusu G5
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili kweli kuonesha kwamba hizo program za UKIMWI ni sehemu ya kuwajibika kwa walichofanya walitakiwa kufanya yafuatayo:Mkuu Hivi hizi program za UKIMWI anazozifund US Hao wachina hawazioni? Naskia Arvs Ni Bure. Nani anafund? Ni US. Atleast they are trying to correct their mistake not to run away from it.
China has to pay and she has to pay dearly. Kwa kupika takwimu na kuchelewa kutoa tahadhari kwa nchi nyingine kuhusu Corona. Yaani walipe for every life that has been lost na wakikataa hakuna kuwalipa loans zao walizokopesha Mataifa mengine na ikibidi they should be isolated by the international community.
Those communists will try to do a cover up lakini naamini joint investigation itawaumbua.Yaaani wafanyiwe kama alichofanyiwa Germany baada ya Kulost World War 1. Racists China.
Yes Keyboard Warrior.