Strong ladg
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 1,357
- 3,114
Mkuu,kuna makabila walikuwa wanaua mapacha,wengine walikuwa wanaua mmoja,wengine walikuwa wanaua wote. Labda hujawahi kusikia ila hiyo mila ilikuwepo kabisa.Watoto mapacha walikuwa hawauwawi ila albino na walemavu.