China: Marufuku kwa walio chini ya Miaka 18 kushiriki Mambo ya Dini

China: Marufuku kwa walio chini ya Miaka 18 kushiriki Mambo ya Dini

Standard ya maendeleo sio Ulaya, ila kama tulikuwa tumeendelea ilitakiwa tuwe na teknolojia ambayo ingetuwezesha kuwashinda pale walipotaka kututawala kwa nguvu. Unasemaje umeendelea ilihali mtu anatoka huko anakuja kukufunga minyororo anakuweka kwenye meli ukawe mtumwa nchini mwake? Ilitakiwa tuwe na uwezo wa kupambana nao hadi tuwashinde.
Kushinda vita ni mbinu na uzoefu sio lazima teknolojia.

Wao walishagombana na walishapitia Changamoto kibao zikawapa uzoefu kwenye medani na sio swala la u superiority.

Hata hivyo kuzidiana kupo lakini standard haiwezi kuwa ya kwao Kwa sababu mazingira ndio Yana define mahitaji na Changamoto
 
Vipi kwa nchi zilizopata maendeleo hivi karibuni eg Singapore, Malaysia, UAE au waafrika wenzetu kama Botswana na Algeria? Kwanini na sisi tusiendelee kama wao?
Maendeleo sio dini peke yake, ni mambo mengi, wanaosema dini ina athari katika maendeleo hawasemi ni dini peke yake, ni kama vile rushwa ilivyo na athari katika maendeleo lakini kuna mataifa yenye rushwa kubwa yaliyoendela mfano Russia. Zipo sababu kwa nini dini hazijawa na athari hasi kwenye baadhi ya mataifa na zimekuwa na athari hasi kwenye baadhi ya mataifa.
 
Hiyo sheria ni sahihi sana wachina wanamiliki asilimia 40%yakili zangu .

..bado wapige marufuku mambo ya dini isipokuwa siku moja tu kwa week

...hata MUNGU aliagiza kwenye agano la kale kuwa SIKU 6 FANYA KAZI ILA YA SABA NI YA BWANA USIFANYA KAZI ila leo wahuni kina mwamposa na makanisa ya kihuni na walokole wanasindisha watu makanisani zaidi ya siku moja waliyo amriwa na Mungu

....kingine ni kupigwa marufuku mambo ya dini kwenye shule za elimu dunia za serikali na zabinafsi zote ...shule za dini ziwe ni zadini tu kama zilivyo Sunday school na madrasa

...wapige marufuku video za uponyaji na miujiza mitandaoni na kwenye vyombo vya habari vyote vikiwemo vya dini ...yaani warushe video za mahubiri tu , siyo video za maombezi na kutoa pepo au uponyaji nk ...hijack zifutwe mashuleni kote...bakwata ivunjwe nk
 
Kabla hatujaletewa hizo dini mbona tulikuwa hatuna maendeleo kuwazidi wao mkuu?
Hili sio swali sahihi, maendeleo ni hatua na hizo hatua zinaweza kutatizwa, kucheleweshwa au kuharikishwa kwa sababu mbalimbali.

Unafikiri China ni wajinga au wamekosea kudhibiti mambo ya dini katika shughuli za umma na kulazimisha dini za nje kuendana na tamaduni na sera za serikali ya China?
 
Mkuu unaweza kufanya social engineering kubwa sana ukiwa na absolute power, angalia MBS anavyowaburuza Wahafidhina Saudi Arabia, anaruhusu kila kitu (sijui ndio wanasema kufungua nchi). Hapa Tanzania kwa mamlaka aliyo nayo rais na uwepo dini mbili tofauti (unazoeweza kuzifanya zisigane) hili wala sio jambo gumu sana na ukizingatia raia pia hata hawamuweki mtawala madarakani.
Hahaha, Unawagombanisha halafu unazipiga ban kwa muda usiojulikana mpaka hali itakapokuwa shwari?
 
Hahaha, Unawagombanisha halafu unazipiga ban kwa muda usiojulikana mpaka hali itakapokuwa shwari?
Ni rahisi sana mkuu kucheza na dini Tanzania kwa sababu mazingira tayari yanaruhusu, angalia suala la ubishi wa haki na amani tu lilivyowatawanya mpaka wengine wanataka kuwakata vichwa wengine😁
 
Ni kuwapa Elimu ya ufahamu kwamba huko wanakodhani dini zilianzia hasa Kwa Wazungu walishaacha kwenda hata makanisani
Ukianza hii campaign watasema hatimae 666 imefika. Yaani mkuu, haya mambo ya dini kupanda mbegu yafutike labda ukiipanda sasa uimwagilie vizazi viwili vitatu ndo angalau labda utaona matokeo.

Hata huko Ulaya hazikufutika tu, ilikuwa taratibu mno na si kwamba zimefutika kabisa, watu wanasali bado na wataendelea kusali.

Pengine miaka 100-200 mbele usishangae zile nchi ambazo hazikuwa za kiimani zikawa zimejaa watu wenye imani.
 
Ni rahisi sana mkuu kucheza na dini Tanzania kwa sababu mazingira tayari yanaruhusu, angalia suala la ubishi wa haki na amani tu lilivyowatawanya mpaka wengine wanataka kuwakata vichwa wengine😁
Yes, ila sio jambo linalowezekana kwa haraka. Halafu, Africa adhabu za kiimani zinazingatiwa kuliko sheria. Ukiondoa imani tegemea wizi wa kutisha serikalini.
 
Ukianza hii campaign watasema hatimae 666 imefika. Yaani mkuu, haya mambo ya dini kupanda mbegu yafutike labda ukiipanda sasa uimwagilie vizazi viwili vitatu ndo angalau labda utaona matokeo. Hata huko Ulaya hazikufutika tu, ilikuwa taratibu mno na si kwamba zimefutika kabisa, watu wanasali bado na wataendelea kusali. Pengine miaka 100-200 mbele usishangae zile nchi ambazo hazikuwa za kiimani zikawa zimejaa watu wenye imani.
Mkuu unakumbuka Samia alivyoingia akaacha kusalimia salamu za kidini za Asalamaleko, Bwana Yesu Asifiwe na Tumsifu Yesu Kristo watu wakapiga kelele miezi kadhaa ila sasa hivi wote walishazisahau wanasiliamia Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania-Kazi iendelee ?
 
Mkuu unakumbuka Samia alivyoingia akaacha kusalimia salamu za kidini za Asalamaleko, Bwana Yesu Asifiwe na Tumsifu Yesu Kristo watu wakapiga kelele miezi kadhaa ila sasa hivi wote walishazishau wanasiliamia Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania-Kazi iendelee ?
Dah.
 
Ukianza hii campaign watasema hatimae 666 imefika. Yaani mkuu, haya mambo ya dini kupanda mbegu yafutike labda ukiipanda sasa uimwagilie vizazi viwili vitatu ndo angalau labda utaona matokeo.

Hata huko Ulaya hazikufutika tu, ilikuwa taratibu mno na si kwamba zimefutika kabisa, watu wanasali bado na wataendelea kusali.

Pengine miaka 100-200 mbele usishangae zile nchi ambazo hazikuwa za kiimani zikawa zimejaa watu wenye imani.
Vijana wa Sasa sio sawa na WA zamani Hawa wa Sasa wanaelewa ujanja ujanja wa dini ndio maana wengi hawasali Wala kuswali.
 
Maendeleo sio dini peke yake, ni mambo mengi, wanaosema dini ina athari katika maendeleo hawasemi ni dini peke yake, ni kama vile rushwa ilivyo na athari katika maendeleo lakini kuna mataifa yenye rushwa kubwa yaliyoendela mfano Russia. Zipo sababu kwa nini dini hazijawa na athari hasi kwenye baadhi ya mataifa na zimekuwa na athari hasi kwenye baadhi ya mataifa.
Dini Kwa Africa Ina mchango mkubwa sana wa Kuharibu fikra.
 
Nyerere na Karume walikuwa wanadini haswa, hawakuwa Wajamaa au Wakomunisti halisi.
Mwenye dini anataifisha Mali ya mtu na kuuwa watu wasio hatia? Kuwafunga jela bila kuwafikisha mahakamani? Hao wote walikuwa hawana dini ila wakijipakazia kuwa wana dini , wasingaliwachukuwa wasio dini makomunisti kwenye serikali
 
Back
Top Bottom