China: Marufuku kwa walio chini ya Miaka 18 kushiriki Mambo ya Dini

Watoto mapacha walikuwa hawauwawi ila albino na walemavu.
Mkuu,kuna makabila walikuwa wanaua mapacha,wengine walikuwa wanaua mmoja,wengine walikuwa wanaua wote. Labda hujawahi kusikia ila hiyo mila ilikuwepo kabisa.
 
Kwanza mila za kiafrika ni za kishenzi kuliko hata mfute dini haitawasaidia chochote kama tutaendelea roho za wanyama wa porini
Sehemu kubwa Ukristo ni mila za Kizungu na Kiyahudi, Sehemu kubwa ya Uislamu ni mila za Kiyahudi na Kiarabu
 
Mkuu unaweza kufanya social engineering kubwa sana ukiwa na absolute power, angalia MBS anavyowaburuza na kuwapelekea moto Wahafidhina Saudi Arabia, anaruhusu kila kitu (sijui ndio wanasema kufungua nchi).


Najua unatamani sana hilo uliloliandika. Ila kwa taarifa yako ni kuwa Saudi Arabia ni Nchi ya Kisalafi na haijaacha njia hiyo mpaka sasa hivi (namuomba Allah Aidumishe katika mikono ya Masalafi). Wanachuoni wa Kisalafi bado ndio wanaopewa sikio na watawala ikiwemo Muhammad Bin Salman (Allah Amhifadhi na Atengeneze jambo lake kwa Kheri na Salama), ndio maana hata Mufti wa Saudia wa sasa hivi tokea mwaka 2025 (alipofariki Mufti aliyetangulia (Allah Amrehemu)) ni Shaykh Fawzaan (Allah Amhifadhi na Amchunge) Ambaye ni Mwanachuoni mkubwa sana wa Kisalafi kama Ma Mufti wa Saudia waliotangulia (Allah Awarehemu).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…