Leo mnajilinganisha na China na Russia? kwa taarifa tu hao "marafiki" zenu huwa hawapokei misaada mpaka ya ARV toka kwa mabeberu, na kama kweli hamtaki bidhaa za mabeberu zile Bombardier mnazoringia zimetoka wapi? mnachekesha sana kwa huu utoto wenu mnaolazimisha muonekane "mnajiweza"
Bidhaa za mchina kwenye haya mataifa ya dunia ya tatu haziaminiki, nyingi ni feki, wanazitengeneza kwa viwango vya chini kwasababu wanajua wakituletea original hatuwezi ku- afford kununua, original watazipeleka S.A, America na ulaya; nendeni mkalete hizo pipi za mchina mmumunye kwa raha zenu.