China na Russia kamwe hawawezi kutumia hiyo chanjo ya mRNA ya kampuni ya Pfizer (Billgate) na BioNTech (Mjerumani): Kwa nini Afrika tulazimishwe?

Kwani ..(kwa Mujibu wa Mleta mada) kunatatizo Tanzania ikiamua kununua chanjo za urusi au China!? Zenye teknolojia ambayo tunaweza kui-decode na kujua kilichomo..!? Kuliko hizi mpya za Kimarekani!

BTW... Chanjo si ipo!? Unadol
Kanunue kama watakupa na dawa zote nenda kanunue kwao urusi na china
 
China wana vaccines zao.
 
Unaogopa nini nenda kapigwe chanjo wacheni ung'ombe,kama mass killing basi zipo chanjo nyingi tu unapigwa pindi unapozaliwa na zinaendelezwa kwa dozi,hata Covid Muingereza anayo yake,mrusi anayo yake sputnik ambayo ni 98%,msiniambie Tz yao ni nyungu 😀
 
Acha ujinga Corona ilipungua kwao kwa sababu June July, August ni summer, imeongezeka kipindi hiki kwa sababu ni winter
Hii siyo lazima hata marekani wengine wamekataa ila hugapata pass ya vaccine inayo kuruhusu kusafiri nchi na nchi
 
kwahiyo bombadia zimetolewa msaada!!!

nyie chawa wa mabeberu mnaboa sana.
 
Inapokuja suala la chanjo, take chanjo ya mchina at your own risk, wamewahi kutengeneza chanjo ya watoto nchini mwao, hao watoto wakaishia kuwa disabled
 
Usiteremshe kiwango chako cha kuchangia, serious discussion on Covid -19 , poor contribution from your end. Nani alikwambia medical jabs zina grade ?.
 
Kitu ambacho naipongeza sana serikali ya awamu ya tano ni kuyafanyia kazi mawazo ya kiintelijensia kutoka kwa vyombo vyetu maalumu. Ugonjwa wa korona unaitesa Sout Africa kwa mujibu wa taarifa, cha kushangaza South Africa wameweka lock down mda mrefu mpaka pombe hawauzi. Sasa why maambukizi hayapungui? Ni hofu tu.

Wanasema corona hii ya pili ni hatari zaidi kuliko ile ya kwanza, sasa mbona shughuli za kimichezo na kijamii Ulaya zimerudi? Mbona mara ya kwanza walifunga? Why now wanaacha?

Najua kuna 'mbumbumbu' wachache wenye kukosoa kila kitu (wajuaji) watapingana na msimamo wa serikali, but hata wao wazungu huko waliko watakua wanajua ukweli

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
Nakubaliana na wewe. Pia si lazima uwekezaji katika sayansi research ufanyike chini ya JWTZ. Duniani kote Sayansi research zipo chini ya Universities. Kwa muda mrefu sana serikali imetelekeza basic research, watafiti (hawa ni wanasayansi kwenye level za PhD) hawapati funding kutoka serikalini, taasisi yetu iliyopaswa kufund research (COSTECH) imejichokea, yaani ni tabu tupu.

Sababu kubwa ni kuwa serikali haijaweza kutambua au kushawishiwa kuwa basic science research inapaswa kupewa kipaumbele kama vilivyo vipaumbele vingine vya kiserikali kama ujenzi wa hospitali, shule, barabara, n.k. Suala la Corona liifungue serikali macho kuwa ni muhimu kwa serikali sasa kujipanga ni namna gani bora ya kufufua na kuwekeza sana kwenye tafiti za Sayansi aina zote, na kuweka mifumo endelevu ya kutegemeza tafiti hizo.
 
Zimetoka kwa mabeberu Kama zilivyo chanjo jaribu kuwa reasonable
ni afadhali nisiyetaka kureason kuliko wewe unaye reason kitoto hivi!!!

ni afdhali utaje ARV na condom,itaonekana ni akili za la pili b umetumia,ndege ni biashara tunafanya sio hisani,unadhani ndege wanauzia ccm pekee duniani??vipi zikionekana na tatizo!!!

huu ugonjwa ni biashara za watu,hata wewe unajua.ila sababu anayepinga ni magufuli basi unaamua tu ukae upande mwingine kupambana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…