China na Urusi waizungukia Marekani kutoka Alaska

China na Urusi waizungukia Marekani kutoka Alaska

Yani meli za kijeshi sio za kujivunia maana ni rahisi sana kupigwa.
Mi nikajua wameenda kukinukisha kabisa kumbe mbwembwe tu.
Mambo kama haya anayafanya sana USA kwenye bahari za wenzake,hua huoni kama unavyoona Leo.
USA ana. Ma meli kibao yanafanya mazoezi Hadi na nchi kama Philippines lakini huo unaona sawa TU wala hujasema meli ni rahisi kupigwa.
Ila nyie jamaa,yaani Rais wa USA akijiharishia hadharini mtasema amepumua ujiuji.
 
Mazoezi kama hayo ni vita ya kisaikolojia.Marekani wanafanya sana kule Korea Kusini kuitisha Korea Kaskazini na Korea kaskazini naye anarusha makombora kila leo kuonesha naye yupo tayari.
Marekani akifanyiwa hivyo na wababe wawili ambao kila siku ana visa nao anakosa raha na ndio lengo la hao jamaa.
Huyo mchina ambaye aliyepiga mkwara kwa yule bibi asiende Taiwan kwa madai atatungua ndege na mwisho wa siku Bibi alifika na hakuna chochote mchina alifanya?

Mkwara wa kichina ni fake kama asili ya bidhaa zao.

Hapo wanamaliza mafuta yao kusafiri umbali mrefu for nothing.

Labda Urusi ndio unaweza kumpa asilimia kadhaa japokuwa ule mkwara wake wa mwanzo kuwa nchi yeyote itayojitokeza kuisaidia Ukraine itapata pigo la kihistoria ilikuwa ni mbwembwe tu.
 
China ilisema itaitungua ndege ya Pelosi hiyo habari uliipata kwa kitenge tv ukiwa chumbani peke yako
 
Urusi aliwahi Fanya mazoezi pale mpakani na Ukraine.

Kilichofatia tumekiona.[emoji15]

Ukraine na Russia zina mahusiano tofauti hata kabla ya vita, hivyo ni tofauti na Russia/China kufanya mazoezi kwenye zone ya Urusi inapopakana na Alaska...
 
Wakati Ukraine ikishughulika na kudondosha vibomu vidogo vidogo kwenye daraja na meli za Urusi na hii ni baada ya kushindwa kurejesha jimbo lolote lililotekwa.Mwenzake Urusi amefikiria mbali sana katika kushinda vita vinavyoendelea.

Mbinu muhimu ni kupambana na wale wanaompa nguvu Ukraine nje ya eneo la vita kuanzia na majirani wa Ukraine kama vile Poland na hata kwenye mabara mengine.

Hatua nyengine ni kuharibu miradi ya kiuchumi inayotegemewa na nchi zinazounda umoja wa NATO kama ile iliyopo Afrika Magharibi.

Mbali na hatua hizo Urusi na Uchina wameona wasimuache adui yao alale kwa raha ndani ya mipaka yake huku akiwaletea shida majumbani kwao.

Kwa hali hiyo nchi hizo zimepeleka kikundi cha meli za kivita karibu na mpaka wa bahari wa Marekani eneo la Alaska.

Jumla ya meli za kivita 11 za Urusi na China zimekwenda kufanya mazoezi eneo hilo na kuitia hofu kubwa Marekani kiasi cha kupeleka meli zake karibu na eneo hilo

-----
The USS John S. McCain tracked Chinese and Russian military vessels along with the USS John Finn and USS Chung-Hoon near Alaska's Aleutian Islands last week. File Photo by Wallace Woon/EPA-EFE

Aug. 6 (UPI) -- Four U.S. Navy destroyers encountered 11 Russian and Chinese military vessels near Alaska's Aleutian Islands last week.

Alaskan Senators Lisa Murkowski and Dan Sullivan said they have been briefed on the incident, alleging that the vessels were operating in U.S. waters. In a statement Saturday, Sullivan called the incident an "incursion."

"The incursion by 11 Chinese and Russian warships operating together - off the coast of Alaska - is yet another reminder that we have entered a new era of authoritarian aggression led by the dictators in Beijing and Moscow," he said.

"In recognition of this reality and our state's unrivaled strategic location, for years, I've been pressing the Navy and each successive administration to commit to a greater Naval, Coast Guard, and Marine Corps presence in Alaska, more Arctic-capable vessels, and more infrastructure to host these assets, like the deep-water port of Nome."

While the senators claim the vessels were in U.S. waters, the U.S. Northern Command told the Wall Street Journal the activity remained in international waters."

A spokesperson for the Chinese embassy in the United States said in a statement that the Chinese and Russian militaries were conducting joint maritime patrols in "relevant waters" in the western and northern Pacific Ocean. They clarified that the operation was "not targeted at any third party."

"This is a stark reminder of Alaska's proximity to both China and Russia, as well as the essential role our state plays in our national defense and territorial sovereignty," Murkowski said in a statement.

"Incursions like this are why we are working so hard to secure funding and resources to expand our military's capacity and capabilities in Alaska, and why our colleagues must join us in supporting those investments."

Source: U.S. Navy encounters 11 Russian and Chinese military vessels operating off Alaskan coast
Ungetaja eneo moja ambalo Urusi na China wameshambulia ndani ya mipaka ya NATO sio huko pemben pembeni nje ya territory
 
Mazoezi kama hayo ni vita ya kisaikolojia.Marekani wanafanya sana kule Korea Kusini kuitisha Korea Kaskazini na Korea kaskazini naye anarusha makombora kila leo kuonesha naye yupo tayari.
Marekani akifanyiwa hivyo na wababe wawili ambao kila siku ana visa nao anakosa raha na ndio lengo la hao jamaa.
Korea amepata jibu kwamba US haiwezekani sasaiv ni kitambo hajarusha fataki yoyote, amepata jibu kwamba silaha zake zote zinaweza kuzimwa na mnyama akiamua sasa anaangalia upepo tu
 
Sababu ya kuvamia ni nini mkuu?

Mbona unaongea pumba sana
Tulitaka kuona ubora wa russia kushambulia eneo la NATO japo kwa inchi 1, sasa kama huna muache mnyama aendelee kufanya kazi zake eti anaizunguka Alaska

Urusi alisema ikishambuliwa Russia atatumia nuclear sasa mpaka drone imeenda kutua juu ya paa la Kremlin na kufanya mripuko nili russia atatumia hizo nulear?
 
Russia anapigana kwa akili na hekima.Bora aendelee hivyo hivyo kwani kwa sasa muda wa kutumia nyuklia bado.Njia mbadala kama kuwatia kabari huku na kule bado zipo.
 
Tulitaka kuona ubora wa russia kushambulia eneo la NATO japo kwa inchi 1, sasa kama huna muache mnyama aendelee kufanya kazi zake eti anaizunguka Alaska

Urusi alisema ikishambuliwa Russia atatumia nuclear sasa mpaka drone imeenda kutua juu ya paa la Kremlin na kufanya mripuko nili russia atatumia hizo nulear?
Sasa sababu za kuvamia ni nini? Mbona unaongea kama haushirikishi ubongo wako mkuu?
 
Back
Top Bottom