China na Urusi waizungukia Marekani kutoka Alaska

China na Urusi waizungukia Marekani kutoka Alaska

Russia anapigana kwa akili na hekima.Bora aendelee hivyo hivyo kwani kwa sasa muda wa kutumia nyuklia bado.Njia mbadala kama kuwatia kabari huku na kule bado zipo.
Anapigana kwa akili ipi ya chini au ya juu? Maana alitangaza saa 72 kuimaliza ukrean sasa mwaka 2 amefurushwa mji mkuu Kyiv na kubaki huko pemben pemben akirusha makombora kuangusha nyumba za raia lakini kuulisha wanajeshi wake wasio na idadi
 
Usiwe kipofu wa mafanikio ya Urusi katika kipindi hicho cha miaka 2.Kaweza kuimega Ukraine thuluthi 1 na kudhibiti maeneo yote ya kiuchumi ikiwemo viwanda.Kwa sasa anainyemelea Kyiv kwa kasi kutokea Kharkiv.Ingekuwa hapigani kwa akili basi angekwisha dondosha bomu la nyuklia.
 
Mambo kama haya anayafanya sana USA kwenye bahari za wenzake,hua huoni kama unavyoona Leo.
USA ana. Ma meli kibao yanafanya mazoezi Hadi na nchi kama Philippines lakini huo unaona sawa TU wala hujasema meli ni rahisi kupigwa.
Ila nyie jamaa,yaani Rais wa USA akijiharishia hadharini mtasema amepumua ujiuji.
tafsiri yake n uchokozi.

ukiona adui anakuja kukufanyia vimbweka kwako basi jua kashakuona huna la kumfanya.

USA yy always yupo above the law ,China na Urusi nao wanadhihirisha wapo above the law.

Lakin ukishaanza kuona hivo ujue mambo hayajakaa sawa kama hawatatumia diplomacia usalama wa dunia unakuwa wa sintofahamu (lolote lawezekana)

Sent from my S6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom