China na Urusi waizungukia Marekani kutoka Alaska

Yani meli za kijeshi sio za kujivunia maana ni rahisi sana kupigwa.
Mi nikajua wameenda kukinukisha kabisa kumbe mbwembwe tu.
Mambo kama haya anayafanya sana USA kwenye bahari za wenzake,hua huoni kama unavyoona Leo.
USA ana. Ma meli kibao yanafanya mazoezi Hadi na nchi kama Philippines lakini huo unaona sawa TU wala hujasema meli ni rahisi kupigwa.
Ila nyie jamaa,yaani Rais wa USA akijiharishia hadharini mtasema amepumua ujiuji.
 
Huyo mchina ambaye aliyepiga mkwara kwa yule bibi asiende Taiwan kwa madai atatungua ndege na mwisho wa siku Bibi alifika na hakuna chochote mchina alifanya?

Mkwara wa kichina ni fake kama asili ya bidhaa zao.

Hapo wanamaliza mafuta yao kusafiri umbali mrefu for nothing.

Labda Urusi ndio unaweza kumpa asilimia kadhaa japokuwa ule mkwara wake wa mwanzo kuwa nchi yeyote itayojitokeza kuisaidia Ukraine itapata pigo la kihistoria ilikuwa ni mbwembwe tu.
 
China ilisema itaitungua ndege ya Pelosi hiyo habari uliipata kwa kitenge tv ukiwa chumbani peke yako
 
Urusi aliwahi Fanya mazoezi pale mpakani na Ukraine.

Kilichofatia tumekiona.[emoji15]

Ukraine na Russia zina mahusiano tofauti hata kabla ya vita, hivyo ni tofauti na Russia/China kufanya mazoezi kwenye zone ya Urusi inapopakana na Alaska...
 
Ungetaja eneo moja ambalo Urusi na China wameshambulia ndani ya mipaka ya NATO sio huko pemben pembeni nje ya territory
 
Korea amepata jibu kwamba US haiwezekani sasaiv ni kitambo hajarusha fataki yoyote, amepata jibu kwamba silaha zake zote zinaweza kuzimwa na mnyama akiamua sasa anaangalia upepo tu
 
Sababu ya kuvamia ni nini mkuu?

Mbona unaongea pumba sana
Tulitaka kuona ubora wa russia kushambulia eneo la NATO japo kwa inchi 1, sasa kama huna muache mnyama aendelee kufanya kazi zake eti anaizunguka Alaska

Urusi alisema ikishambuliwa Russia atatumia nuclear sasa mpaka drone imeenda kutua juu ya paa la Kremlin na kufanya mripuko nili russia atatumia hizo nulear?
 
Russia anapigana kwa akili na hekima.Bora aendelee hivyo hivyo kwani kwa sasa muda wa kutumia nyuklia bado.Njia mbadala kama kuwatia kabari huku na kule bado zipo.
 
Sasa sababu za kuvamia ni nini? Mbona unaongea kama haushirikishi ubongo wako mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…