Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Urafiki wa nchi ya China kupitia chama tawala cha nchi hiyo na serikali yetu kupitia CCM ni kiashiria tosha cha mfanano wa vyama hivyo viwili.
Pia soma:
DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
China inasifika duniani kwa kupoka uhuru wa raia wake bila kujali uhuru na haki za binadamu. Mauaji ya waislam wa Rohingia na mateso ya wale wote wanaoipinga serikali yao ni jambo linalosabihisha unyama na sera za kimabavu za China dhidi ya raia wake.
Pia soma:
Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute
China ndio ya kwanza duniani kwa UKIUKWAJI wa haki za binadamu duniani. Hao ndio marafiki wqkubwa wa CCM. Unatarajia nini kutoka kwenye utawala huo?
Ukitembea na mwizi.....