China ndio ya kwanza duniani kwa ukiukwaji wa haki za binadamu na ndio marafiki wakubwa wa CCM. Unatarajia nini kutoka CCM?

Ukiukwaji wa haki za binadamu kwa tafsiri ya wapi? Kwa sababu wengine wanadhani Western Democracy (human and people'srights inclusive) is a universal (international) democracy. Which is totally wrong.
 
Kuteka nyara raia na kuwatesa pia kuwaua...

Hayajakukuta ndo maana umevimbiwa na kujifanya hayakuhusu
 
Good analysis. Watu wengi wanadhani Marekani ndiyo mfano wa kuigwa wa demokrasia. Wanadhani chochote kikikubalika na marekani kuwa sahihi, basi kitakuwa sahihi kwa dunia nzima. Akikataa kuwa kibaya, basi kitakuwa kibaya kwa wote. Kitu ambacho si sahihi. Demokrasia siku zote inajengwa kwenye misingi ya desturi, mila na tamaduni. Mambo hayo ndiyo yanayoamua demokrasia ya eneo husika. Hivyo huwezi ukasema demokrasia ya mashariki ya kati iwe sawa na ya China, India na ulimwengu wa magharibi.
 
actually,
ni kama chadema tu ilivyo na urafki na vyama vya siasa ambavyo jukumu lao ni kushindwa vibaya katika kila uchaguzi na si vinginevyo, hawana dhamira ya kushika dollar kabisa...

kudhulumu maisha ya akina Chacha Wangwe ndio haki na mwenye haki ya nafasi hiyo ni ya mwamba wa kaskazini pekee right?

na hilo limesaidia pakubwa mno kuifikisha chadema hapo ilipo, haina mbele wala nyuma kama ilivyo kwa vyama marafiki maeneo mbalimbali duniani 🐒
 
Kuteka nyara raia na kuwatesa pia kuwaua...

Hayajakukuta ndo maana umevimbiwa na kujifanya hayakuhusu

Duniani kote kuna changamoto tofauti tofauti. Hata kule mnakoamini demokrasia ilizaliwa nao wana changamoto. Mpaka tena wanataka kumuua kwa risasi mgombea.
 
Kama CHADEMA walimuua Chacha Wangwe, inakuwaje wawe na kinga ya kutoshtakiwa?
 
Kada ukishapewa mshiko kwenye Envelope unapambania Chama.
 
Umelishw kaseti na Biden?
 
Kama CHADEMA walimuua Chacha Wangwe, inakuwaje wawe na kinga ya kutoshtakiwa?
mimi sifahamu bana kama chadema walimuua huyo muungwana, na kwakweli sitaki kujiingiza kwenye hilo,

but nazungumzia haki na dhuluma kama ambavyo umejaribu kuelezea kwenye hoja yako ya msingi mezani...

kwani haki ni kuishi hai pekeyake?
dhuluma za uchaguzi ndani ya chadema mathalani majuzi kanda ya Nyasa, lakini dhuluma za kingono ili kupata nafasi viti maalumu wanawake chadema, dhuluma za haki ya kuwa Mwenyekiti Chadema taifa au ni nafasi ya mtu moja pekee Chamani hapo?

lakini pia,
dhuluma za rushwa ndani ya chadema zilizoibuliwa na makamu mwenyekiti taifa kwamba uongozi wa chadema una nuka rushwa, au hiyo ni haki sio dhuluma kwa wasio na uwezo wa kifedha? au hiyo ndio haki kwa chadema maskini?🐒
 
Kwa kuwa upo CC ya CHADEMA peleka hii hoja kikaoni ili muwajibishane.

Kikubwa ni CCM kutodumisha na kuzingatia haki za binadamu
 
Kwa kuwa upo CC ya CHADEMA peleka hii hoja kikaoni ili muwajibishane.

Kikubwa ni CCM kutodumisha na kuzingatia haki za binadamu
nilikua mshauri mwandamizi chadema wakati wa Dr wilbroad si sasa,

hata hivyo,
chadema ingalikua inafuata misingi ya kidemokrasia, haki, uhuru, usawa, uwazi pamoja na ile ya kuanzishwa kwake walau ungeaminika na kumake sense kiasi fulani kwenye hoja yako ,

otherwise ni useless na nonsense kwa unreadable political party kujaribu kudecostruct credible and ruling political party 🐒
 
Fungua thread ya CHADEMA

Hapa tunazungumzia haki za binadamu zinavyovunjwa na CCM kwa kufundwa na China
 
Fungua thread ya CHADEMA

Hapa tunazungumzia haki za binadamu zinavyovunjwa na CCM kwa kufundwa na China
ndiyo, hiyo ndio nzuri sana na ndiyo saizi yenu,
ni uhuru na haki yenu, zungumzeni kwa amani, na wengine tuendelee kuweka sawa ratiba na kujipanga vizuri zaodi mipango ya kuwapelekea wananchi maendeleo kule waliko
 
Sasa upo CCM unapiga pambio za kuunga mkono
 
Sasa upo CCM unapiga pambio za kuunga mkono
si husiki na aina hiyo ya ushirikina,

nahusika katika kusema ukweli tu, tena ukweli mtupu na kusaidia Rais Dr. SAMIA SILUHU HASSAN kipenzi cha waTanzania katika nia na dhamira yake njema ya kuliunganisha Taifa na kuifungua nchi
 
Sote tunajua namna alivyoifungua kupitia DP World, Ngorongoro na kwingineko ambapo Watanzania wanabaki na majonzi makubwa sana
 
Sote tunajua namna alivyoifungua kupitia DP World, Ngorongoro na kwingineko ambapo Watanzania wanabaki na majonzi makubwa sana
ni muhimu sana ikaeleweka wazi kwa waTanzania wote kwamba,
nchi ni tulivu, salama na ya amani zaodi katika awamu hii ya sita chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan kuliko vipindi vyote vilivyopita,

wananchi wanafurahia, uwazi serikalini, uwajibikaji wa viongozo, uadilifu, haki, uhuru na usawa katika huduma mbalimabli za kijamii zinazosomamiwa na kipenzi cha waTanzania Dr.Samia Suluhu Hassan
 
Ubaguzi wa watu weusi na weupe ni watu. Mtoa mada kasema CCM jibu kuhusu urafiki wa ccm na.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…