China: Paper tiger (Mbwa asiye na meno) kaufyata wakati mwenzake anachezea kipigo.

Huyo unaye mjibu ni mjinga sana
Sukari imepanda mjomba!? Uzuri Iran kapigwa muda mzuri sana wa mfungo wa Ramadhan. Unangia vitani na njaa.
 
Marekani wanayo hofu na China ila mmatumbi mmoja kutokea chanika na mabaki ya mchicha mdomini anamwita paper tiger 🚮
Huyu ni mjinga anadhani kuna faida zozote za msingi kuanzisha mavita ya kipuuzi kila mara yasiyo na msaada wowote nakubali namna wachina wanajitenga na mavita ya kipuuzi na kukuza uchumi wao.
 
Marekani wanayo hofu na China ila mmatumbi mmoja kutokea chanika na mabaki ya mchicha mdomini anamwita paper tiger 🚮
Naona mmatumbi mwenzangu anafahamu hofu ya Marekani kwa China, au upo kwenye payroll ya CIA!!?
 
Huyu ni mjinga anadhani kuna faida zozote za msingi kuanzisha mavita ya kipuuzi kila mara yasiyo na msaada wowote nakubali namna wachina wanajitenga na mavita ya kipuuzi na kukuza uchumi wao.
Wewe ndiye mjinga. Ingekuwa vita ni vya kipuuzi, visingepiganwa kwa karne zote hizo. Bila vita hakuna ustaarabu; vita ndiyo baba wa ustaarabu katika dunia hii.
 
Ina maana hujui kama China ndio ana supply Dunia nzima? Pande zote mbili zinazopigana zinamtegemea Mchina kupata bidhaa zake Muhimu.

Vikwazo vya Trump vimebakia Tu kwenye maneno, hakuna mpaka Leo kilichofanywa.
 
Kila nchi ni mshirika wa China
 
Ina maana hujui kama China ndio ana supply Dunia nzima? Pande zote mbili zinazopigana zinamtegemea Mchina kupata bidhaa zake Muhimu.

Vikwazo vya Trump vimebakia Tu kwenye maneno, hakuna mpaka Leo kilichofanywa.
Mlisema hivyo pia kwa Iran.

Time will tell.
 
China hapendi waislam ni vile tu anachota mafuta ya bure iran

China wametangaza nchini kwao kuwa uislam ni ugonjwa wa akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…