system hacker
JF-Expert Member
- Mar 13, 2022
- 426
- 709
Tuache. Viongozi wetu miyeyusho sana. Basi tuache tushabikie viongozi wa wengine. Nako tukishabikia huko mnatumaindi pia? Mtuache....Watz bwana!!!
Ulitegemea China waanzishe vita kwa sababu tu spika wa Marekani kaingia Taiwan?Putin pokea salaam kupitia kwa Bibi. Wale wachina ni wa mchongo usijenge uswaiba nao watakuacha kichinachina.
USA ni mkubwa wao. China ni mbwa koko wenye kelele.
Jitadhmini sana Mr. Putin nakuonea sana huruma.
China hawana tofauti yeyote na Mandonga
God Bless USA.
Nimeshangaaa Nancy katua salama aisee kibibi ni nohmaa kizungu Cha kinazi mameki
Pro China mnajipa moyo sana. Poleni na heshimu wakubwaUlitegemea China waanzishe vita kwa sababu tu spika wa Marekani kaingia Taiwan?
Vita ya 🇺🇸na China🇨🇳 haiwezi kutokea kirahisi hivyo. Ni kama ilivyo kwa Russia vs Marekani. Haya ni mataifa makubwa kupigana kutaleta hasara kubwa duniani kote
82 years ago hana chakupotesa labuda!!!Huyu bibi ana roho ngumu balaa hahahaah
Kwani sie africa hatuna mabibi wa ages hizo? Mbona hatuna wakipambana.....ile ni damu ya marekani pure. Imagine ni mwanamke wala sio me82 years ago hana chakupotesa labuda!!!
Hahahaha Putin ww unamuelewaga? Hamna mtu pale yule ni mchongo tuWacha kufananisha putin na vitu vya hovyo hovyo, mchina ni mandonga mweupe mwenye vimacho vidogo.
Putin balaa lake hata wa sisi huku MBOOndole limetufikia.
Mtu nisiyefungamana na upande wowote
Ndiyo, ni mwanamke. Lakini, kuchana hotuba ya rais wake unaona, anaweza kuhesabu moja mpaka tano kwa 'kiswahili' sawa sawa? Sina hakika kama tunaelewa, lakini Mkuu.Imagine ni mwanamke wala sio me