rommy shabby
JF-Expert Member
- Jun 26, 2017
- 1,123
- 1,302
Oyaaa kumekucha tayar china anapeleka moto vibaya mnoo mashariki mwa Taiwan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbingunikwetu: Kweli Mchina aliacha kulianziasha akitafakari maslai ya Dunia! Ni nchi gani inafikiri hivyo, kila nchi inatanguliza maslahi yake.Inanikumbusha utotoni watoto walivyokuwa wakichonganishwa ili wapigane!! Kisa eti ni kuonesha tu nani zaidi!! Hizi lugha za uchonganishi hazina tija kwa dunia. Kumbuka tuna dunia moja tu!! Hakuna pa kukimbilia!! Kikinuka china na marekani Tz siyo mbali!! Athari za vita vya nyuklia ni za dunia nzima!! Wenye akili zao wanalijua hilo!!
Tuishukuru China kwa kujali mustakabali wa dunia zaidi kuliko mustakabali wa china peke yake!! Vinginevyo yule bibi angetangulizwa kwenda mahali ambapo keshakaribia sana kufika kwa vyovyote vile!! Ana miaka 82 unategemea kabakiza miaka mingapi? Aachwe tu amalizie siku zake!! Mungu atamhukumu mwenyewe kwa matendo yake ambayo almanusura yaitumbukize dunia kwenye janga!!