Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivyo vichwa vya Nuclear vitadunguliwa kabla havijavuka anga la Urusi, Usichezea na US Technology wewe. Kumbuka Urusi ndo ilikuwa inamiliki vifaru vingi kuliko nchi yoyote lakini kumbe US imetengeneza Javelin ya ghalama ndogo sana kuangamiza vifaru vya kirusi kirahisi sana.
kuna tofauti gani kati ya vichwa vya nuclear 5900, 4000 au 3000? maana vichwa buku tu vinatosha kuharibu everything huhitaji vichwa 1aki moja kuwa hatar kuliko wengine ndio maana nuclear war haina mshindi km wote mna uwezo wa kuvilunch
Ustaadhi Utamu yupo msiban kwa Ayman AlzawahrHivi Bwana Utam yupo wapi?![emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Anatawala nchi zenye wazembe kama zetu.Hiyo argument haijawahi kuwepo. US anatawala na hajapata mpinzani tangu ashike hatamu.
Mwambie Pelosi atue Crimea au Donbas tuone..Putin pokea salaam kupitia kwa Bibi. Wale wachina ni wa mchongo usijenge uswaiba nao watakuacha kichinachina.
USA ni mkubwa wao. China ni mbwa koko wenye kelele.
Jitadhmini sana Mr. Putin nakuonea sana huruma.
Msisahau China kapigwa nyeti uwanja wake wa nyumbani wala sio mbali na home kwake
China hawana tofauti yeyote na Mandonga
God Bless USA.
Kama mtu hajakuomba chakula, muache aishi atakavyo yeyeWala sijawafuatilia chief. Ila huwa nashangaa ni akili za namna gani mlizokuwa nazo.
Kule himars inajigia tuHivyo vichwa vya Nuclear vitadunguliwa kabla havijavuka anga la Urusi, Usichezea na US Technology wewe. Kumbuka Urusi ndo ilikuwa inamiliki vifaru vingi kuliko nchi yoyote lakini kumbe US imetengeneza Javelin ya ghalama ndogo sana kuangamiza vifaru vya kirusi kirahisi sana.
Mmemkimbia mchina mpaka namuonea huruma. Kwa iyo apa hata mazungumzo ya watu kuiponda USA. Mfano wakisikia wakatukaushia ktk misaada wale wale waliokuwa wanasema USA ipigwe itaanza kulia hahahaha hahahaha.Wacha kufananisha putin na vitu vya hovyo hovyo, mchina ni mandonga mweupe mwenye vimacho vidogo.
Putin balaa lake hata wa sisi huku MBOOndole limetufikia.
Mtu nisiyefungamana na upande wowote
Ni mmarekani mwenye damu ya kiitalianoKwani sie africa hatuna mabibi wa ages hizo? Mbona hatuna wakipambana.....ile ni damu ya marekani pure. Imagine ni mwanamke wala sio me
Walikuwa wanakata mauno baharini kama mabinti wa Beach Kidimbwi. Wachina mbwembwe nyingiHata mwenyewe nimemind inakuwaje yule Bibi kizee anatua Tapei kirahisi vile. Sijapenda Mchina amekuwa kamaa Mandonga. Maneno meengi vitendo 0 labda tusubiri kukuche kesho.
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Wapi nilisema niko na mchina? Mie siko upande wowote, naenda na uhalisia tu, mchina mwenyewe ndio alianza mikwara mie nikasubiri nione nani kaoneka nani mandonga.Mmemkimbia mchina mpaka namuonea huruma. Kwa iyo apa hata mazungumzo ya watu kuiponda USA. Mfano wakisikia wakatukaushia ktk misaada wale wale waliokuwa wanasema USA ipigwe itaanza kulia hahahaha hahahaha.
Wasalimie Chanika Taliani kwa Masista
Inanikumbusha utotoni watoto walivyokuwa wakichonganishwa ili wapigane!! Kisa eti ni kuonesha tu nani zaidi!! Hizi lugha za uchonganishi hazina tija kwa dunia. Kumbuka tuna dunia moja tu!! Hakuna pa kukimbilia!! Kikinuka china na marekani Tz siyo mbali!! Athari za vita vya nyuklia ni za dunia nzima!! Wenye akili zao wanalijua hilo!!Putin pokea salaam kupitia kwa Bibi. Wale wachina ni wa mchongo usijenge uswaiba nao watakuacha kichinachina.
USA ni mkubwa wao. China ni mbwa koko wenye kelele.
Jitadhmini sana Mr. Putin nakuonea sana huruma.
Msisahau China kapigwa nyeti uwanja wake wa nyumbani wala sio mbali na home kwake
China hawana tofauti yeyote na Mandonga
God Bless USA.