Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
You are just irrational boy.Nyie mliosema zipo Kenya, please tuelezeni hizo interchange mlizonazo ni zipi?. Kwasababu juzi mlichora barabara mkaziita BRT, kwa kutumia lugha ya kawaida hata hizo barabara mlizochora zinaweza kuwa kweli ni BRT, ila kwa vigezo vya dunia, bado haziwezi kuwa BRT kwa kuzingatia viwango vya miundombinu.
[emoji15][emoji15][emoji15] Sio interchange, sema flyover bado ipo. Moja.Hahahahahaha, hata BRT pia ipo kama ambavyo interchange pia zipo, hahahaha poor Kenyans, keep on dreaming.
Acha kutapatapa, tunazingimzia infrastructure hapa sio language. Wote tunaweza kuwa masikini lakini kiwango cha umasikini kinatofautiana sana, lakini lugha ni moja tu, MASIKINI haitenganishi.Usijisumbue, acha apambane mwenyewe na kamusi ya kiingereza. Huyo kawaida yake ni jamaa wa kuhamisha goal post, ukisema hili anaibuka na lingine. Mwishowe utajipata umeambukizwa ujinga.
Tunazungumzia interchange sio flyover nyanyangu, sidhani hata kama unaelewa kinachozungumzwa.You are just irrational boy.
Hata kisumu imeipiku dar kwa flyovers.
Kila kitu si kupinga kila wakati.
Tena naona umeulizwa maana ya interchange. Wajibu kistaarabu acha kubwabwaja
HahaaaWanaume wa dar hawawezi tafuna 'kiteri' wanapenda chakula laini
Ndio maana nikakwambia uprovide maana ya interchange na si flyover. Acha kujitoa ufahamuTunazungumzia interchange sio flyover nyanyangu, sidhani hata kama unaelewa kinachozungumzwa.
Sawa basi Kenya hamna interchange wala flyover.Acha kutapatapa, tunazingimzia infrastructure hapa sio language. Wote tunaweza kuwa masikini lakini kiwango cha umasikini kinatofautiana sana, lakini lugha ni moja tu, MASIKINI haitenganishi.
Interchange tunayojenga inagharimu $100M, ila tunazo barabara ambazo zinapisha na kuruhusu MAGARI kuweza kubadili directions bila kuingiliana(Interchange). Kwa kigezo cha lugha, zote hizo ni interchange, ila kwa kigezo cha viwango vya infrastructure ambacho
Nimeshawajibu hao waumezako huko nyanyanguNdio maana nikakwambia uprovide maana ya interchange na si flyover. Acha kujitoa ufahamu
Kenya mpo na flyovers tena nyingi, ila hamna BRT wala interchange. Tanzania tuna flyover moja na BRT, sasa hivi tunajenga interchange ya kwanzaSawa basi Kenya hamna interchange wala flyover.
Sawa mjukuu. AlamsikiNimeshawajibu hao waumezako huko nyanyangu
Safari bado ipo?Sawa mjukuu. Alamsiki
YeahSafari bado ipo?
Tarehe ngapi exactly?Yeah
Kenya mpo na flyovers tena nyingi, ila hamna BRT wala interchange. Tanzania tuna flyover moja na BRT, sasa hivi tunajenga interchange ya kwanza
TutajuaTarehe ngapi exactly?
unipe kolabo mkuuWewe naona unatafuta mchumba[emoji23][emoji23][emoji23]Muda sio mrefu nitakuomba K huko DM.