China vs U.S, utengenezaji wa meli za kibiashara: Kwa mwaka, China inaunda meli zaidi ya 1,700 huku Marekani ikiunda meli 5 tu.

Ishu ni gharama tu, wafanyakazi China wanalipwa kidogo na kufanya gharama za uzalishaji kuwa chini sana.
Kinachopunguza gharama katika manufacturing industry ya China sio cheap labor.

Suala linaanzia kwenye manufacturing ecosystem, hapo ndipo China ilipoifanya iwe global industrial powerhouse
 
Wambie hao vibwengo wao wakinunua kiatu made in China vikakatika a week wanaona China iko hvo China yupo moro quality kuliko yyte halafu anasaidiwa na affordable price
Umesema vyema
 
Duh hujamwelewa kabisa mleta habari!
 
100 nyuma........bro wewe endelea na wachina mimi niko calfornia ambayo uchumi wake unaweza kuunganisha Hong Kong na Beijing kwa mara moja ndio waifikie hata baada ya kuungua sehemu..
Mkuu unaizungumzia California hiihii ambayo ina homeless kama wote ambao huwezi kuwakuta Beijing. California yenye high cost of living kuliko Beijing
 
Tulia basi ......kwa hiyo kama ussr ndio iliwekeza na muungano ukavunjika waliobaki unawachukulia poa sio kwamba hawana akili ehhh?? Hiyo china na ukubwa wake inatolewa jasho na Taiwan kwa kujenga chip tu kidude kidogo kabisa .......mpaka leo hawezi kutengeneza chip nzuri kuishinda Taiwan ndio aje kujenga meli ..... unanichukulia kama matak@%@%@^ yako
 
USA hamna kitu bora hata Trump atairudisha kwenye mstari ,walikuwa pesa wanapeleka kufadhili magaidi na walafi wa Africa badala ya kujijenga.

Trump anaipeleka USA mbali sana.
 
Tambua hiyo liaoning ndio kubwa kushinda zote........china hana tenkolojia ya kujenga meli kubwa kama Gerald ford carry..........ile ya uss ni hatari.......jet 75 zinakaa pale juu usichukulie poa poa .........narudia tena china ni copy copy tu na sio established wa kolokolo lolote hata kibatari inawezekana hakikuanzia china
 
Mkuu unaizungumzia California hiihii ambayo ina homelessness kama wote ambao huwezi kuwakuta Beijing. California yenye high cost of living kuliko Beijing
He borrowed US $30 million to set up a fake company and began negotiations with the shipyard. He then finalized the deal to buy Varyag from Ukraine for a mere US $20 million. The Chinese subterfuge worked, as no one thought the warship could become seaworthy. After this began the odyssey to bring Varyag to China.23 Sep 2024

China Flaunts "Ukrainian Warship" To Project Power Near Japan. Sails Into It's ...

Unaelewa inaposemwa Lioning ni type 001, Shandong ni type 002 na Fujian ni type 003?

Fujian carrier ndio kubwa zaidi kuwahi kutengenezwa nje ya Marekani
 
narudia tena china ni copy copy tu na sio established wa kolokolo lolote hata kibatari inawezekana hakikuanzia china
Tunaishi kwenye dunia ya innovation

China ni innovator kwa sasa hakuna taifa linaifikia China kwenye innovation

Ondoa hiyo anti-China mentality ya copy and paste utaonekana mjinga ukikaa na watu wenye uelewa wa hizi mambo

Harafu anakuja binadamu mmoja anakuja kukaza fuvu na komwe lake kama grass ya juice ya muwa........eti oooh china
Unaelewa inaposemwa Lioning ni type 001, Shandong ni type 002 na Fujian ni type 003?

Fujian carrier ndio kubwa zaidi kuwahi kutengenezwa nje ya Marekani
Wezi tu hao .....ile ya Ukraine walinunua kitapeli kwanza
 
Mkuu unaizungumzia California hiihii ambayo ina homeless kama wote ambao huwezi kuwakuta Beijing. California yenye high cost of living kuliko Beijing
Standard of living ya California iko juu sana kuliko Beijing.
 
China anakuja juu Sana, bado hajamfikia US, lakini anakuja faster, china Hana uwezo wa kuwa na shirika kama USAID lenye kumwaga mapesa kibao duniani, Ila kwenye sekta ya AI, EV, nk ni tishio kwa sasa
 
Hii inaitwa weka tuweke😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…