China vs U.S, utengenezaji wa meli za kibiashara: Kwa mwaka, China inaunda meli zaidi ya 1,700 huku Marekani ikiunda meli 5 tu.

Tuambie na Tanzania inatengeneza meli ngapi kwa mwaka
 
KITU PEKEE KINACHO IFANYA MAREKANI KUWA JUU KIUCHUMI NI DOLLA YAKE KUFANYWA PESA YA DUNIA ...NDIYO MAANA BRICS WANACHEZA NA HIYO KARATASI NI PIGO TAKATIFU KWA MAREKANI..KAMA SIYO HIYO KARATASI BASI MAREKANI INGEKUWA KAMA BRAZIL TU
 
China anakuja juu Sana, bado hajamfikia US, lakini anakuja faster, china Hana uwezo wa kuwa na shirika kama USAID lenye kumwaga mapesa kibao duniani, Ila kwenye sekta ya AI, EV, nk ni tishio kwa sasa
China haimwagi hela kindezi kama Marekani inavyotumia mashirika yake kama USAID na NED kufadhili magaidi, vikundi vya waasi, kueneza propaganda na kuchochea color revolution

China inamwaga pesa kupitia BRI ambayo inafadhili ujenzi wa miundombinu kwa maendeleo ya kiuchumi ya nchi husika na wala haitambi kama Marekani au kususia kutoa misaada



 
Ila llinapokuja suala la durability na reliability mchina yuko chini sana
Kweli kabisa, halafu mchina ni mwizi wa technology mfano wamesubiri imetoka AI faster wakagonga copy wakaja na ya kwao
 
Mchina kwenye dalian shipyard shandong huko anajitengenezea type 004 kama 3 zitakuwa ndio aircraft carrier kubwa zaidi duniani zitabeba ndege 100 na zinakuwa nuclear powered. Akimaliza kutengeneza hizo gap ya carrier kati yake na usa itakuwa ni 7 kwa 11 na kwa spidi hii soon mchina global navy fleet yake itakuwa kubwa kwa haraka zaidi kuliko usa, sasa naamini kweli China is powerful.
 
Uko sahihi ila tambua tu mchina naye ni mjanja most of hizo BRI infrastructure zinapita kwenye route za raw.materials kuelekea china mwishowe zinamnufaisha na yeye kiuchumi japo angalau ni win win sio kama za hao wengine.
 
Kweli kabisa, halafu mchina ni mwizi wa technology mfano wamesubiri imetoka AI faster wakagonga copy wakaja na ya kwao
Wengi msiojua kuwa China iliwekeza kwenye AI tangu miaka kadhaa nyuma mmeanza kuijua China kupitia DeepSeek

Ukweli ni kwamba China wako kwenye game la AI kitambo sana kampuni kama vile Alibaba, Tencent na nyinginezo zimekuwa zikifanya vizuri.

Ni vile tu DeepSeek imekuwa game changer kwa kuzikalisha kwa mbali AI za West ndio maana imekuwa well known internationally

Kwenye patents na researches za AI China hana mpinzani. Ujio wa DeepSeek ni matunda ya R&D na innovation kwenye Chinese AI industry



 
Uko sahihi ila tambua tu mchina naye ni mjanja most of hizo BRI infrastructure zinapita kwenye route za raw.materials kuelekea china mwishowe zinamnufaisha na yeye kiuchumi japo angalau ni win win sio kama za hao wengine.
Umesema vyema na hiyo ndiyo sera ya China win-win cooperation na sio Marekani win-lose cooperation
 

..swali la kujiuliza ni nini kilipelekea sekta ya ujenzi wa meli kuporomoka nchini Marekani.

..kwanini zamani walikuwa wako juu, lakini sasa hivi wako chini?

..kwanini Wamarekani wanaweza kutengeneza masilaha makubwa-makubwa lakini wanashindwa na nchi kama South Korea kutengeneza magari?
 
Wamarekani pia wanaongoza kutengeneza ndege.
 
US haiwezi shindana na China kwenye manufacturing ya chochote kile.
Inaishinda China kwa standard of living, better life, democracy

GDP per capita US 82K USD vs China 12k USD. China wakijipata hizo kazi zitaenda India na Vietnam huko na tayari washaanza wao watabaki kufanya kazi za kitozi kwa maslahi makubwa kama USA.

Kazi ngumu mpe mjinga. Believe me you boss wako anafanya kazi ndogo kwa maslahi makubwa kuliko wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…