Sawa nakubali ni teknolojia iliyobuniwa na mjerumani ila hadi Wachina wanayo na ni za high standards kuliko ya mjerumani.Nimeandika technology ya Mjerumani ,wewe unaleta porojo. Hiyo Msglev ni technology ys Mchina!?
eeeh! Samahani kidogo hapo kwenye fake items, sio fake ni quality ya bongo wafanya biashara ya nguo wanalijua vyema kabisa jambo hili. hata iPhones & almost 700,000 Tesla vehicles zinatengenezwa China.Binafsi naona China wapo vizuri kwenye technology na Engineering kuliko taifa lolote hata US. Ukiangalia wao ndo wa kwanza kutengeneza hypersonic bombs, wametengeneza maglev trains ( treni zinazoelea) na pia wametengeneza treni zinazopita katikati ya majengo bila kuisahau Deepseek AI inayoongoza sasa hivi.
Nakubali China wanatengeneza fake items ila kwenye vitu serious kama meli wapo vizuri ndo maana wanapokea order nyingi.
ndugu yangu maddox kula nondo hizi watu wana full details babu, we umebaki kupumbazwa na Propaganda za US kupitia mainstreams na movie za akina Rambo.Unazungumzia meli iliyonunuliwa na kufanywa Liaoning carrier.
Hili ni jambo la kawaida katika ship building industry, Naval na marine.
Unashangaa hilo wakati carrier kubwa ya Marekani Gerard R. Ford inategemea zaidi ya semiconductors 6,500 zilizotengenezwa China kufanya kazi.
U.S Navy ni wanunuzi wazuri wa critical components za meli zao kutoka China
Hiyo meli ilitengenezwa lakini haikuwa imekamilika China waliinunua ikapelekwa Dalian Shipyard China, wakaikarabati na kuifanya carrier
Na China wanazo carriers ambazo ni China made kama Shandong (type 002) na Fujian (type 003) ambazo ni kubwa na za kisasa kuliko Liaoning (type 001)
Sawaeeeh! Samahani kidogo hapo kwenye fake items, sio fake ni quality ya bongo wafanya biashara ya nguo wanalijua vyema kabisa jambo hili. hata iPhones & almost 700,000 Tesla vehicles zinatengenezwa China.
Vitu vyenye quality ndogo wanawaleteeni nyinyi huku sababu ni masikini hamna uwezo wa kununua bidhaa zenye quality kubwa mkuuUsisahau ubora, wachina wame-base kwenye quantity
Bahati nzuri hata mtumba unaotokea china unatufikia huku na quality tunaiona ni yaleyale tu.Vitu vyenye quality ndogo wanawaleteeni nyinyi huku sababu ni masikini hamna uwezo wa kununua bidhaa zenye quality kubwa mkuu
Shekhe wangu hakuna kitu kama hicho...........mzungu alianzia mbali sio kama hawa wachina wameibuka miaka 70 nyuma.........maana ukiitoa miaka 70 kwenye maendeleo ya China unakuta ni Mao ndio alikuwa mtawala na wakati ule mambo yalikuwa ni jembe la mkono wakati huko kwa wazungu π tractor lilikuwepo shambani watu wanalima kama kawa........... Leo hii ndio aje kumpita mzungu ........hacheni mahaba ya kibwabwa..........tena kwenye hiyo miaka ya nyuma unaambiwa tanganyika tulikuwa nao uchumi sawa ............sasa huku nyerere mwenyewe alikuwa anachangiwa kwenda UNO ..............hebu angalieni ninyi mnawaonaje wazungu au mnawaona kama matako yenundugu yangu maddox kula nondo hizi watu wana full details babu, we umebaki kupumbazwa na Propaganda za US kupitia mainstreams na movie za akina Rambo.
Unaelewa maana ya innovation?Shekhe wangu hakuna kitu kama hicho...........mzungu alianzia mbali sio kama hawa wachina wameibuka miaka 70 nyuma.........maana ukiitoa miaka 70 kwenye maendeleo ya China unakuta ni Mao ndio alikuwa mtawala na wakati ule mambo yalikuwa ni jembe la mkono wakati huko kwa wazungu π tractor lilikuwepo shambani watu wanalima kama kawa........... Leo hii ndio aje kumpita mzungu ........hacheni mahaba ya kibwabwa..........tena kwenye hiyo miaka ya nyuma unaambiwa tanganyika tulikuwa nao uchumi sawa ............sasa huku nyerere mwenyewe alikuwa anachangiwa kwenda UNO ..............hebu angalieni ninyi mnawaonaje wazungu au mnawaona kama matako yenu
Maana yake china inaipita marekani.........umefurahiii eehhUnaelewa maana ya innovation?
Maana yake china inaipita marekani.........umefurahiii eehh
Unachekesha unayo andikaShekhe wangu hakuna kitu kama hicho...........mzungu alianzia mbali sio kama hawa wachina wameibuka miaka 70 nyuma.........maana ukiitoa miaka 70 kwenye maendeleo ya China unakuta ni Mao ndio alikuwa mtawala na wakati ule mambo yalikuwa ni jembe la mkono wakati huko kwa wazungu π tractor lilikuwepo shambani watu wanalima kama kawa........... Leo hii ndio aje kumpita mzungu ........hacheni mahaba ya kibwabwa..........tena kwenye hiyo miaka ya nyuma unaambiwa tanganyika tulikuwa nao uchumi sawa ............sasa huku nyerere mwenyewe alikuwa anachangiwa kwenda UNO ..............hebu angalieni ninyi mnawaonaje wazungu au mnawaona kama matako yenu
China yenyewe inatengeneza semiconductorCha ajabu hata China anategemea semiconductors toka Taiwan.
Nipe kampuni ya chiha inayowezs shindana naUS haiwezi shindana na China kwenye manufacturing ya chochote kile.
Inaishinda China kwa standard of living, better life, democracy
Kweli Aisee, inatengeneza. Ila kila wakati inalia inabaniwa technology kutengeneza advanced microchipsChina yenyewe inatengeneza semiconductor
HakunaNipe kampuni ya chiha inayowezs shindana na
Boeing