Construction na architecture ni vitu viwili tofauti.
Anayefanya construction ya majengo ya kisasa anatumia nyenzo (tools/equipments) zilizopo tayari pamoja na design/blueprint kutoka kwa aliyefanya architecture.
Anayefanya architecture anatumia ubunifu na ujuzi wa kiufundi (creative and technical skills) ili kuunda majengo (design/blueprint) kabla hata ya mchakato wa construction kuanza.
Kazi ya architecture katika karne hii inahitaji qualifications na ujuzi zaidi kuliko construction.
Mfano: Kwa nchi kama Marekani, wala hauhitaji university degree ili kuwa licensed contractor wa majengo, wakati ili uwe licensed architect ni lazima uwe na kisomo cha juu zaidi kuanzia degree. Nafikiri hata kwa Tanzania ni vivyo hivyo.
Soma zaidi tofauti zao hapo chini (zingatia sana hizo sehemu nilizopigia mstari mwekundu):
View attachment 2770281
Links:
When it comes to building design and construction, the terms "construction" and "architecture" are often used interchangeably. However, they are not the same
thecontentauthority.com
The difference between an architect and a contractor is that architects produce designs for larger-scale projects while the contractors keep and implement them.
www.accessdoorsandpanels.com