T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Hamjakatazwa kuwaza, ila muwe mnawaza vitu kwa kutumia uhalisia sio kwa sababu una uwezo wa kuwaza basi unajiwazia hata kuunda mbingu yako mwenyewe.Sawa ila walikuwa hawana vyoo na hata leo watu wengi hawana vyoo lakini wanawekeza kwenye teknolojia kubwa kubwa hadi space exploration electric car, Chip fubrication nk
Kuna tech ukizipata una lipfrog hatua.
Halaf kukosa vyoo ni jambo la kibinafsi zaid kuliko uma.
Usafiri ni jambo la uma.
Ningependa Waafrika tuwe na ndoto chanya kuliko hasi, hivi ni lini tutajitosheleza ili tuuunde vitu vya kisasa kana tutskuwa na mawazo ya kushindwa tu.
Wasomi wanatuonya kuwa upo ilivyo kutokana na unavyowaza unavyosoma unavyokula ubavyo interact nk.
Magrev technology is expensive, daraja la Kigamboni limejengwa na Wakorea kwa bilioni 300 wakati hata kilomita moja halina. Afrika hii nani ana turner ya hata 50km, hiyo ni cheap ikiwa electric na sio magrev. Wajerumani wana hiyo tech tangu kabla ya 1970s hawana hizo treni, China ndio anaziwaza sasa hivi wakati ana population kubwa na msongamano na fedha za kutosha, India ina watu over 1.3 haijawaza hilo.
Sasa Waafrika tuwaze tunnel ya magrev kwa ajili gani hasa. Nani achangie hiyo wakati hata jengo moja la makao makuu ya AU tulijengewa na Wachina. Afrika kuna miradi mamia inawezafanyika ila sio huo.