China wafanya majaribio ya treni ya speed 1,000km/h

Na ndio maana wanataka itumike kuunganish majij
Najaribu kuwaza momentum kwa abiria wakati traini inasimama!! Kwenye ndege...sidhani kama uwa ina cruise kwa speed hiyo huko angani!!
===
Hongera wachina kwa kujikwamua.
 
Swala la usalama lazima wallizingatie ili ugunduz wao uwe na tija
 
Unarudi palepale kwenye point yangu. China ni mwizi wa technology ila kuna vitu vingi sana anafanya mwenyewe. Mfano sasahivi ana space missions nyingi na alishampita Russia mbali kwenye eneo hilo ila hapewi airtime.

Technology ni art of science, kama stealth jet inabidi iwe na geometrical shape ya kupunguza detection, iwe na radar absorbing materials, iwe na coating kwenye skin, isiwe na air inlet kubwa au ziwepo deflectors, iwe na engines zilizozama ndani na zisizo na protruding nozzles basi any effective stealth jet lazima iwe hivyo hivyo. Hiyo ndio science ndio maana stealth fighters zote zilizopo in production na kwenye development zina mfanano haijalishi ni ya Marekani, Russia, China, South Korea, Japan au UK.

Hatokei nchi inatengeneza stealth ikiwa mviringo ili ionekane haijakopi au kuiba tech, sayansi itakatalia hicho kitu kwa hiyo hakitokuwepo. Kitakachokuwepo ni kile kilichofuata masharti ya sayansi ndio maana vitafanana.

Na kuna vitu wanalazimika kugundua kutokana na threats na needs. Huyu akiona huyu katoka hypersonic missile na yeye anaongeza R&D mwisho wa siku hypersonic technology wanayo Russia, Marekani na China na zote zinafanya kazi the same way. Sasa utasema nani kamuibia nani wakati sheria za sayansi ni zilezile

Mkuu mbona hatuelewani??!!, mimi sizungumzii juu ya technological developments au design developments tofautisha kati ya technological/design developments or reverse Engineering na Technology theft.

Mtu akigundua Technology na akaificha na akaja mtu akafanya hila na kuichukua hapo huyo mtu anakuwa ni mwizi wa technology.

Mfano kipindi kile Uingereza na ufaransa walipounda Concorde ile material ya link gear ya gurudumu la mbele walikuwa wanapata kutoka USSR, ni USSR pekee kipindi hicho aliyekuwa na technology ya kuunda hiyo Alloyed metal yenye toughness ya kuhimili mzigo na hekaheka za hiyo ndege wakati ikitua, hiyo link gear ni Alloyed metal iliyochanganywa kutokana na aina tofauti za metal elements kwa viwango tofauti technology yake ilikuwa ni; element ipi ianze kuchanganywa kwa joto kiasi gani kiasi gani cha elements na katika mazingira yepi !??, ukiweza kuchanganya hizo elements kwa utaalamu ulionao na ukapata Alloyed steel inayokusudiwa huo utaalamu ndio technology, na huo utaalamu unapofichwa halafu mtu aje auchukue kwa njia za hila huyo mtu atakuwa mwizi. Technology is preciously the application of science and not "exactly" the art of science as you said.

Bila shaka hapo utakuwa umenielewa, tofautisha kati ya design development na technology theft, hicho ulichozungumzia wewe kuhusu mabadiliko katika uundaji na uwekaji wa engine katika ndege na geometric features za stealth fighter jets ku-absorb au ku-deflect radar waves hizo ni design developments na sio technology theft.

Kumbuka nazungumzia juu ya technology theft na sio designing development au technology development.
 
Turudi mwanzo kwenye comment yako uliyomjibu mtu nami nikaquote. Kwahiyo unamaanisha China kaiba magnetic levitation technology. Kaiba kwa nani
 
Mimi sikumshutumu mchina specifically kwa "wizi" wa levitation technology bali mimi namshutumu mchina kwa wizi wa technologies in general na hayupo peke yake bali mataifa karibu yote ya Asia huo ndio mchezo wao mkubwa licha ya kwamba hata mataifa ya Ulaya nayo siku hizi hayapo nyuma kwa wizi.
 
Mkuu yani hasa tunachobishana sikioni. Narudia kusema China ni mwizi wa teknolojia ila bado anagundua na kuendeleza teknolojia zake nyingi sana. Ana R&D kubwa na ana maelfu ya patents anafungua kwa mwaka.

Wewe unakaria kusema mwizi. Mwaka 2021 na mwaka 2022 nchi gani imeongoza kwa patents duniani? China anaweza andika patents kwa mwaka akawa wa kwanza kuzidi jumla ya number 2 na 3 combined. Sasa hizo nazo anaiba?

Na hao West hawajaanza kuiba teknolojia siku hizi kama unavyodai. Mwaka 1945 Marekani ilimchukua Werner Von Braun wa nini kumtoa Nazi Germany kwenda naye Marekani awe mkuu wa NASA? Rocket ya kwanza Marekani walitoa wapi kama sio yeye kutumia research za V-2 flying rocket iliyokuwa funded na serikali ya Hitler? Team ya mwanzo ya NASA ilijaa Wajerumani kibao. Mifano ipo mingi tu
 
Huyo jamaa anaichukia sana China kuna shida katika akili yake. Yaani ukiandika jambo lolote kuhusu China lazima aje na mtazamo hasi kuihusu
BRICS! BRICS! Wazungu wanajinyea tu saa hizi, mchina anapigana vita kwa akilli mzungu kwa mihemko mwafrika kwa kulalama.
Tupigane kama wachina tutashinda.
I like their modal of fighting.
Miaka 5 iliopita wachina wali plan kujitegemea kwenye chip tech wazungu wakaona kama utani, this time they have innovated photonic chip na uchafu wote unaohusu chip industry.
Wazungu walijidanganya kuwa watatawala race zingine milele kumbe binadamu ni kiumbe tofauti, huwezi kukitawala milele.
Hakuna binadamu alieweza kumtawala binadamu mwenzake mileke.
Kwa sababu wazungu babu yao ni shetani ngoja tuone fitina gani watakuja nayo kumkwamisha mchina.
Mpaka sasa mzungu na mchina wanaongea meza moja hakuna wa kumtisha mwenzake.
Waafrika gani. Hawa ambao bado kuna vijiji hamna vyoo? Maendeleo sio suala la kuigana, ni kufanya priorities kwa kuzingatia faida na gharama na ulazima kwa wakati huo.
China wakati waanza kupambana kiuchumi miaka ya 1950s hawakujenga viwanda vya ndege, walianza na kilimo tena wakajichanganya wakakosea wakapigwa baa la njaa zaidi ya watu milioni 20 wakafa.

Kutengeneza matoroli tu hatuwezi sembuse kujenga magrev.
Maendeleo ya China hawajaiga modal ya ulaya na hata Africa itaendelea kwa modal yake.
India wana NUKE tech tangu 80's, wana Military weapons tech za hatari na sasa hivi wanawekeza in adv quantum computer na state of the art tech ila mpaka sasa kuna maeneo hawana vyoo wanakojoa hovyo na familia zingine zinalala barabarani.
Kwa hio kukosa vyoo sio hoja ya kuzuia maendeleo makubwa ktk ulimwengu wa sasa..
Hata iyo China haijamaliza matatizo ktk viji vyao usifikiri kwamba hatuna taarifa japo hatujafika huko China.
 
China ni bado anagundua na kuendeleza teknolojia zake nyingi sana. Ana R&D kubwa na ana maelfu ya patents anafungua kwa mwaka.
Shenzhen Silicon Valley kuna kila aina ya R&D, innovation and invention wakisapotiwa na serikali ya China

Kila aina ya teknolojia katika semiconductor, automotive, aerospace, robotics, computing systems iko hapo
 
Wapo kwenye mkakati wa depopulation hao, [emoji1787][emoji1787][emoji1787] wapo wengi sana, hiyo treni ika feli brake ndio basi tena
 
BRICS! BRICS! Wazungu wanajinyea tu saa hizi, mchina anapigana vita kwa akilli mzungu kwa mihemko mwafrika kwa kulalama.
Tupigane kama wachina tutashinda.
I like their modal of fighting.
Miaka 5 iliopita wachina wali plan kujitegemea kwenye chip tech wazungu wakaona kama utani, this time they have innovated photonic chip na uchafu wote unaohusu chip industry.
Wazungu walijidanganya kuwa watatawala race zingine milele kumbe binadamu ni kiumbe tofauti, huwezi kukitawala milele.
Hakuna binadamu alieweza kumtawala binadamu mwenzake mileke.
Kwa sababu wazungu babu yao ni shetani ngoja tuone fitina gani watakuja nayo kumkwamisha mchina.
Mpaka sasa mzungu na mchina wanaongea meza moja hakuna wa kumtisha mwenzake.

Maendeleo ya China hawajaiga modal ya ulaya na hata Africa itaendelea kwa modal yake.
India wana NUKE tech tangu 80's, wana Military weapons tech za hatari na sasa hivi wanawekeza in adv quantum computer na state of the art tech ila mpaka sasa kuna maeneo hawana vyoo wanakojoa hovyo na familia zingine zinalala barabarani.
Kwa hio kukosa vyoo sio hoja ya kuzuia maendeleo makubwa ktk ulimwengu wa sasa..
Hata iyo China haijamaliza matatizo ktk viji vyao usifikiri kwamba hatuna taarifa japo hatujafika huko China.
Endelea
JamiiForums790734876.jpg
 
India walitafuta nuclear technology kwa mbinde iwe mvua liwe jua kwakuwa walikuwa na adui jirani China ana nukes. Pakistan nao wakalazimika kutengeneza kwa kuwa India anazo.

Ndio maana nasema maendeleo yatokane na necessity sio kuiga na kwenda kwa mkumbo kama huyo aliyesema Afrika tuwe na magrev trains kisa China wanadevelop
 
Sawa ila walikuwa hawana vyoo na hata leo watu wengi hawana vyoo lakini wanawekeza kwenye teknolojia kubwa kubwa hadi space exploration electric car, Chip fubrication nk
Kuna tech ukizipata una lipfrog hatua.
Halaf kukosa vyoo ni jambo la kibinafsi zaid kuliko uma.
Usafiri ni jambo la uma.
Ningependa Waafrika tuwe na ndoto chanya kuliko hasi, hivi ni lini tutajitosheleza ili tuuunde vitu vya kisasa kana tutskuwa na mawazo ya kushindwa tu.
Wasomi wanatuonya kuwa upo ilivyo kutokana na unavyowaza unavyosoma unavyokula ubavyo interact nk.
 
Hio isije tu bongo
kama Sauli tu inawatoa ulimi wauza earphone na biskuti mbezi ikija hio 1000kmph hawataweza
 
Back
Top Bottom