I understand very well engineering concepts
1000km/h is about mach 0.8 speed, kiwango hiki cha speed kinahitaji many safety procedures si rahisi kama unavyotuaminisha.
Hatua waliyopo ni hatua za mwanzoni kabisa za kutengeneza model na kujaribu kukusanya data muhimu ili kuangalia kama wataweza kufikia malengo hayo. Ni kama stage za project za hyperloop za Elon musk zilivyoanza mpaka sasa kufikia kuchimba na kuanza ujenzi kwaajili ya test run
So, punguza propaganda na uache kudanganya watu unapoleta taarifa uwe unaweka na vithibitisho vya uhakika maana humu Kuna watu wafatiliaji