China wafanya majaribio ya treni ya speed 1,000km/h

China wafanya majaribio ya treni ya speed 1,000km/h

A Chinese research team has successfully completed the country's first full-size superconducting test run for an ultra-high-speed magnetic levitation (maglev) train, which, once completed, will be capable of running at a whopping 1,000 kilometers per hour under ideal conditions.

Developed by the China Aerospace Science and Industry Corporation Limited (CASIC), the maglev train aims to carry passengers and cargo at a speed of 1,000km/h or faster in a low-vacuum tube. It is expected to be used for commuting between mega city clusters in the future.

A superconducting maglev test line has been built in Datong City, north China's Shanxi Province.

The experiment preliminarily verified the scientific rationality of the overall design, said Li Ping, a member of the project at CASIC, at a science popularization exhibition held in Beijing on Sunday.

Li said that more experiments will be conducted to reach the maximum speed and to verify the entire system's reliability, adding that the research team has tested a 623km/h speed under non-vacuum conditions previously.

China currently operates its high-speed bullet trains at a maximum speed of 350km/hView attachment 2598335
Hii hakuna kuuza mahindi wala Karanga pembeni...
 
Mobilization of resources Africa yetu ipo very poor, lakini mradi kana huo unawezekana hata kwa mikataba ya muda mrefu. Tuna mali nyingi sana Africa.
Kwa pesa iliyo chini ya ardhi ambayo Africa inayo hili suala linawezekana kabisa bila hata mkopo wowote kutoka nje ya Africa
 
hakuna cha muda uchumi sijui nini binadamu tumejaa vurumai nyingi sasa hio speed kubwa hivo hao waliomo huko ndani si watatoka kila kiungo cha mwili kimehama eneo lake
Ok mawazo tunatofautiana baina ya jamii na jamii na malengo ya taifa na taifa yana tofautiana baina ya jamii na jamii

Swali kwako. Kwani nini sehemu kubwa ya Afrika haija endelea kama mataifa makubwa ya dunia hii yalivyo endelea ?
 
Scientist and engineer think of hyperdonic speed train, airplane,car nk. Watakaoishi miaka 100 ijayo watashuhudia vyote.
Elon musk anampango wa kuwa anafyatua rocket zilizobeba watu, hizi xitakuwa maalumu kwa usafirishaji.

Miaka 20 ijayo tunaweza kushuhudia maana tayari ana self landing rocket, zinahitajika modification chache tu, tuanze kufyatuliwa kwenye rocket. Wale waoga huu usafiri hauta wafaa.
Sielewi kwanini Concorde zilikuwa terminated. Pamoja na changamoto walitakiwa watafute solution; lilikuwa linasaidia sana London - Canberra just 3 hrs badala ya 16!
 
Ok mawazo tunatofautiana baina ya jamii na jamii na malengo ya taifa na taifa yana tofautiana baina ya jamii na jamii

Swali kwako. Kwani nini sehemu kubwa ya Afrika haija endelea kama mataifa makubwa ya dunia hii yalivyo endelea ?
sasa hilo liko kwa viongozi na ni kitu gani wamekipa kipa umbele ....na sio lazima duniani nchi zote tufanane ....yote kwa yote hiyo speed kubwa mnoo una wahi wapi hilo dude likila mzinga kwa speed hiyo haponi hata mbu humo ndani
 
hakuna cha muda uchumi sijui nini binadamu tumejaa vurumai nyingi sasa hio speed kubwa hivo hao waliomo huko ndani si watatoka kila kiungo cha mwili kimehama eneo lake
Niliwahi kupanda high speed train kati ya Shanghai na Shenzhen yenye speed ya 600km/h ukikaa kwenye hizo treni ikiwa inaenda ziko na utulivu mkubwa sana

Unaweza ukaweka glass ya maji kwenye meza na wala yasimwagike
 
Dar - Mwanza, kituo ni kimoja tu sio?

Wale jamaa wakushindana kwenye mbio za magari, wanatembea na ngapi?
Wale imekula kwao, wamepigwa bao! unaenda Mwanza unarudi Dsm unaenda tena Mwanza unafika bado wako njiani tu! 😆 ukirudi tena Dsm kwa mara ya pili wao bado tu hawajafika Mwanza 🤣 na hapa naongelea wale wenye vibati vya 260km/hr BMW and the like, sio toyota 180km/hr 😂
 
Back
Top Bottom