Mtoto wa tajiri
Member
- Jun 24, 2019
- 63
- 107
Labda wanataka wawahi kuzimuSpidi hiyo sijui wanataka kuwahi wapi!?...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda wanataka wawahi kuzimuSpidi hiyo sijui wanataka kuwahi wapi!?...
Pamoja na kwamba China ni mwizi ila vitu vingine vipo namna hiyo vilivyo. Hakuna ugunduzi mwingine wa kukitengeneza kikiwa tofauti. Kama taili la gari ni jeusi na duara na sayansi inataja sababu za kuwa hivyo, South Africa wakilitengeneza huwezi sema wameiba teknolojia.Ndio kaiba halafu anaiboresha.
Shida ni sisi black people ambao hata kuiba technology yoyote tunashindwa sembuse kubuni !!🤤
Wataikubali Concorde tena maana vizuizi vilikuwa vingi sana awali ?Pamoja na kwamba China ni mwizi ila vitu vingine vipo namna hiyo vilivyo. Hakuna ugunduzi mwingine wa kukitengeneza kikiwa tofauti. Kama taili la gari ni jeusi na duara na sayansi inataja sababu za kuwa hivyo, South Africa wakilitengeneza huwezi sema wameiba teknolojia.
Magrev zipo Ujerumani tangu 1970s ila wanajua sababu kwanini hawakuendeleza. Na kitu kingine ni mahitaji, China ni kubwa sana hivyo wana uhitaji wa magrev, Japan au UK ni nchi ndogo miji haijaachana. Ndani ya China humohumo kuna jangwa na nyika, sasa UK kuna vichaka tu ukiwa mji huu ukisimama juu unaona mji mwingine kwa macho.
Na China wanazunguka mji kwenda mji, tofauti na Marekani ambayo majimbo hujitahidi kujitosheleza hivyo movements za miji ya jimbo ndio kubwa.
Na magrev kwa sababu inapunguza sana friction kutokana na levitation, spare parts si kwamba zinaisha haraka. Pia mwili wa binadamu unaweza mudu vizuri hizo G force zinazotokana na kasi hiyo. Kwa fighter jets ni rubani anaweza enda mpaka 6 G ila rolls zitakuwa limited na anakuwa na vifaa kama oxygen mask. Zaidi ya hapo anaweza pasuka ngoma za sikio, kutoka damu puani, pressure, kuzimia, n.k.
6 G ni nyingi sana hiyo speed ya 1000km/hr haifiki hata 1 Mach wakati kuna kampuni zinatengeneza supersonic airliners ndege ziende hata 3 Mach watu wamechoshwa na kukaa masaa kibao London - New York. Concorde mpya inakuja
Concorde ilikuwa project ya show off, ni kama kwa ajili ya watalii na watu wa hadhi. Ilikuwa gharama kubwa sana kuendesha, ilikuwa na kelele nyingi vibaya hata hizi Tupolev za Mrusi hazikaribii. Zile sijui turbojet au torbofan engines kwa ile supersonic speed zilikuwa zinapiga kelele sana. Ukitaka linganisha tazama J-7G za JWTZ zikiruka kutoka airbase kama Ukonga zinavyopiga kelele na ni kandege kadogo wala sidhani kama kanafika hata Mach 2 speed.Wataikubali Concorde tena maana vizuizi vilikuwa vingi sana awali ?
Pamoja na kwamba China ni mwizi ila vitu vingine vipo namna hiyo vilivyo. Hakuna ugunduzi mwingine wa kukitengeneza kikiwa tofauti. Kama taili la gari ni jeusi na duara na sayansi inataja sababu za kuwa hivyo, South Africa wakilitengeneza huwezi sema wameiba teknolojia.
Magrev zipo Ujerumani tangu 1970s ila wanajua sababu kwanini hawakuendeleza. Na kitu kingine ni mahitaji, China ni kubwa sana hivyo wana uhitaji wa magrev, Japan au UK ni nchi ndogo miji haijaachana. Ndani ya China humohumo kuna jangwa na nyika, sasa UK kuna vichaka tu ukiwa mji huu ukisimama juu unaona mji mwingine kwa macho.
Na China wanazunguka mji kwenda mji, tofauti na Marekani ambayo majimbo hujitahidi kujitosheleza hivyo movements za miji ya jimbo ndio kubwa.
Na magrev kwa sababu inapunguza sana friction kutokana na levitation, spare parts si kwamba zinaisha haraka. Pia mwili wa binadamu unaweza mudu vizuri hizo G force zinazotokana na kasi hiyo. Kwa fighter jets ni rubani anaweza enda mpaka 6 G ila rolls zitakuwa limited na anakuwa na vifaa kama oxygen mask. Zaidi ya hapo anaweza pasuka ngoma za sikio, kutoka damu puani, pressure, kuzimia, n.k.
6 G ni nyingi sana hiyo speed ya 1000km/hr haifiki hata 1 Mach wakati kuna kampuni zinatengeneza supersonic airliners ndege ziende hata 3 Mach watu wamechoshwa na kukaa masaa kibao London - New York. Concorde mpya inakuja
Nchi hizihizi ambazo kutoka tu hapo zanzibar mtu akivuka na tv mtumba anatozwa kodi?Misri to SA kama masaa 7. Waaafrika wajiunge nchi zote ijengwe kutoka kaskazini hadi kusini halafu kuwe na dirvesion ya East Africa na West Africa. Nchi zitaendelea haraka sana.
UKISOMA TEKNOLOJIA YA MAGNETIC ELEVATION UNAELEWA NINI NDUGU?Yap hilo suala naona watazingatia
Maana kwa speed ndogo tu hizi brake za ghafla watu wanagonga vichwa sasa kwa spidi ya 1000km per hr mtikisiko kidg ni vifo
Wanatumiaga kamera mbadala wa mirrorKwa hiyo spidi site mirror zitavunjika kwa upepo
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Huyo jamaa anaichukia sana China kuna shida katika akili yake. Yaani ukiandika jambo lolote kuhusu China lazima aje na mtazamo hasi kuihusuUna matatizo makubwa sana yanayo kusumbua na sidhani kama unafahamu ni matatizo gani yana kusumbua
Inazidi ya ndegeUtulivu ndani ya chombo lazima uzingatiwe hiyo speed ni kubwa mno
ivi ndege inatumia speed ngapi vile maana dar mwanza ni dk 45 ikianza kupaa ukihesabu mpaka kutua mbna figo haziami1000km/hr figo lazima zihame
Inamtesa sana aiseeAnachuki ambayo inamtesa yeye mwenyewe
Unarudi palepale kwenye point yangu. China ni mwizi wa technology ila kuna vitu vingi sana anafanya mwenyewe. Mfano sasahivi ana space missions nyingi na alishampita Russia mbali kwenye eneo hilo ila hapewi airtime.Wizi wa technologies sio kuunda kitu kifanane na kingine (mfano tairi liwe duara nk), technology ni kama utaalamu au ufundi katika utengenezaji.
Zipo technologies ambazo ni siri na zipo ambazo sio siri na ikibainika wewe ulichukua kwa njia za ujanja technology ambayo mwenzako aliificha kwa siri hapo wewe unaitwa Mwizi wa technology.
Pia Mchina na Muhindi sio wezi wa technology tu bali pia ni Copy cats, mfano; Chukua angle grinder 9"(Black and Decker- professional, British made) model ya zamani na chukua Ideal Chinese made 9" model ya zamani utakuta armature, field coils, gears zake vyote vipo sawasawa kabisa na ni interchangeable hii maana yake ni kwamba Mchina alikopi kutoka Kwa British.
Hapa hatuzungumzii mambo reaction forces (6G) wala levitation technology ilianzia wapi na wala hutuzungumzii juu mach speeds nk.
Na kupunguza safari za ndege maana hapo anaepanda ndege na anaepanda treni anaanza kufika anaepanda treni hahahaha hatar sanaMuda ni uchumi, lengo ni kupunguza masaa ya kusafirisha abiria na mizingo ili kuchochea zaidi ukuaji wa kasi wa uchumi pia maisha bora ni jambo la msingi
Tumeishapiga mahesabu yote mkuu, niwe na mashaka jopo la vipanga usiku na mchana tulikuwa hatulaliYap hilo suala naona watazingatia
Maana kwa speed ndogo tu hizi brake za ghafla watu wanagonga vichwa sasa kwa spidi ya 1000km per hr mtikisiko kidg ni vifo
Sijui chochoteUKISOMA TEKNOLOJIA YA MAGNETIC ELEVATION UNAELEWA NINI NDUGU?
maglev...
Ifuatilie kipngozi ujue utulivu humo ndani utakuwajeSijui chochote
360 ni kawaida tu?360 kawaida tu yaani