China wafanya majaribio ya treni ya speed 1,000km/h

Hamjakatazwa kuwaza, ila muwe mnawaza vitu kwa kutumia uhalisia sio kwa sababu una uwezo wa kuwaza basi unajiwazia hata kuunda mbingu yako mwenyewe.

Magrev technology is expensive, daraja la Kigamboni limejengwa na Wakorea kwa bilioni 300 wakati hata kilomita moja halina. Afrika hii nani ana turner ya hata 50km, hiyo ni cheap ikiwa electric na sio magrev. Wajerumani wana hiyo tech tangu kabla ya 1970s hawana hizo treni, China ndio anaziwaza sasa hivi wakati ana population kubwa na msongamano na fedha za kutosha, India ina watu over 1.3 haijawaza hilo.

Sasa Waafrika tuwaze tunnel ya magrev kwa ajili gani hasa. Nani achangie hiyo wakati hata jengo moja la makao makuu ya AU tulijengewa na Wachina. Afrika kuna miradi mamia inawezafanyika ila sio huo.
 
Misri to SA kama masaa 7. Waaafrika wajiunge nchi zote ijengwe kutoka kaskazini hadi kusini halafu kuwe na dirvesion ya East Africa na West Africa. Nchi zitaendelea haraka sana.
Akili iyo tunayo sasa,sisi tunachokijua ni kupongeza tu
 
Kama una amini hivyo sawa.
Mimi naaamini
Africa haiwezi kubadiishwa na fikra za wengi, hata ulaya USA,India,China hazikubadilishwai na watu wengi.
Kama wewe unadhani haiwezekani wapo wanaoweza kutoa suluhisho.
Wanasiasa wenu wanewaaminishs mambo hayawezekani kumbe wao ndiio wameshindwa na nyie mnakubaliana.
Jaribu kuwafuatilia waafrika wanaofanya mambo tofauti na jinsi wanatimiza maono yao.
 
Kama una amini hivyo sawa.
Mimi naaamini
Africa haiwezi kubadiishwa na fikra za wengi, hata ulaya USA,India,China hazikubadilishwai na watu wengi.
Kama wewe unadhani haiwezekani wapo wanaoweza kutoa suluhisho.
Wanasiasa wenu wanewaaminishs mambo hayawezekani kumbe wao ndiio wameshindwa na nyie mnakubaliana.
Jaribu kuwafuatilia waafrika wanaofanya mambo tofauti a jinsi wanatimiza maono yao.
 
Mtoto wa mkulima alishindwa kutuvusha, akajiunga na mafisadi.
Toa hio picha.
Umaskin mbaya ndugu

Ukipata fursa unapaswa kuitumia

Mtoto wa mkulima kapata fursa kaitumia hakuna baya hapo kwani kakwanyua pesa ya kanisa au msikit

Swala la kuvushwa unalazimika kujipambania mwenyew usitarajie km atatokea mwanasiasa atakayekuvusha Kwa sabab hata wao wanataka kuvushwa
 
Kwa hio hata barabara tujipanie, bei za mazao, Mikopo ya elimu ya juu, ujenzi wa vituo vya afya nk tujipambanie kazi ya serijali itakuwa nini?
Kama ni hivyo kuna maana gani ya kuwa
na nchi.
 
Adili tu na haya mambo vita haiwezi
 
Inaitwa mag lev technology ambapo treiin ni kama inapita hewani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…