China wako vizuri sana kwenye kiingereza. Yani walivyomjibu Trump kwenye tarrifs, nimewakubali

China ndo the biggest threat kwa marekani, sio hivo viinchi vya ulaya
 
Sawa ni kubwa ila sio kama inavyokuzwa, Kufikia level za Marekani bado sana ndio maana hata teknolojia za jeshi lao zipo chini wanamuiga Marekani na bado hawafikii,
Watu hawasemi ni kubwa kama marekani wanavyosema ni uwezo wa kudinda na kusimama imara dhidi ya marekani Na ile hali ya kutoogopa chochote.Yaani mamlaka ya kujiamulia.
 
Watu hawasemi ni kubwa kama marekani wanavyosema ni uwezo wa kudinda na kusimama imara dhidi ya marekani Na ile hali ya kutoogopa chochote.Yaani mamlaka ya kujiamulia.
Yes kwa level hizo imefika ila kwa kiasi chake, China inaitamani sana Taiwan lakini Marekani inawazuia
 
Huwa nataka nianzishe uzi kuhusu umuhimu wa lugha ya Kiingereza duniani kwa sababu Tanzania tunadanganyana sana kwamba mbona China wanatumia lugha yao na wanaendelea.

Ni kwamba, China walijikita katika lugha yao miaka hiyo lakini hali hiyo imewatesa sana kwa miaka hii ya utandawazi na kujikuta wamekirudia Kiingereza kwa kasi sana.

Kwa sasa vijana wa Kichina wanokuja Afrika katika nchi zinazozunguma Kiingereza mfano kwenye makampuni ya barabara wanaongeza Kiingereza kuliko Watanzania tofauti na wazee ambao hawajui Kiingereza kwa sababu ya Mao!
 
Nyau de adriz le nyambulet enuchii
 
Ndio kilichobakia maamaee hadi tuache kunya maporini na tuwe na nidhamu ya kunya ndo tutaacha kusifia lugha ya mkononi maamaee.

Nyau de adriz
umesahau na kuzaliana kama panya huku tukitegemea misaada๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Waafrica ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Shukrani sana mkuu msaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ