China wako vizuri sana kwenye kiingereza. Yani walivyomjibu Trump kwenye tarrifs, nimewakubali

China wako vizuri sana kwenye kiingereza. Yani walivyomjibu Trump kwenye tarrifs, nimewakubali

China ndo the biggest threat kwa marekani, sio hivo viinchi vya ulaya
 
Sawa ni kubwa ila sio kama inavyokuzwa, Kufikia level za Marekani bado sana ndio maana hata teknolojia za jeshi lao zipo chini wanamuiga Marekani na bado hawafikii,
Watu hawasemi ni kubwa kama marekani wanavyosema ni uwezo wa kudinda na kusimama imara dhidi ya marekani Na ile hali ya kutoogopa chochote.Yaani mamlaka ya kujiamulia.
 
Watu hawasemi ni kubwa kama marekani wanavyosema ni uwezo wa kudinda na kusimama imara dhidi ya marekani Na ile hali ya kutoogopa chochote.Yaani mamlaka ya kujiamulia.
Yes kwa level hizo imefika ila kwa kiasi chake, China inaitamani sana Taiwan lakini Marekani inawazuia
 
Huwa nataka nianzishe uzi kuhusu umuhimu wa lugha ya Kiingereza duniani kwa sababu Tanzania tunadanganyana sana kwamba mbona China wanatumia lugha yao na wanaendelea.

Ni kwamba, China walijikita katika lugha yao miaka hiyo lakini hali hiyo imewatesa sana kwa miaka hii ya utandawazi na kujikuta wamekirudia Kiingereza kwa kasi sana.

Kwa sasa vijana wa Kichina wanokuja Afrika katika nchi zinazozunguma Kiingereza mfano kwenye makampuni ya barabara wanaongeza Kiingereza kuliko Watanzania tofauti na wazee ambao hawajui Kiingereza kwa sababu ya Mao!
Baada ya Rais Trump wa Marekani kuiongezea china Terrifs kwenye bidhaa zake kutoka asilimia 10 hadi ishirini. Nao wamejibu kuiongezea bidhaa za marekani asilimia 15.

Bidhaa za marekani ambazo china zimeongeza teriffs hadi asilimia 15 ni sorghum (ulezi), soybeans, pork (kiti moto), beef, aquatic products, fruits, vegetables, and dairy products”.

Baada ya China kufanya hivyo kilichonifurahisha ni kiingereza walichotumia kumjibu Marekani yani kimeenda shule balaa na ni msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya china alitumia. Yani Nouma China kwenye kutema yai nimewanyooshea mikono. Cheki hapo chini.

Speaking at a regular briefing on Tuesday, Lin Jian, a spokesperson for China’s Foreign Ministry, said “China will fight till the end” if the US “insists on waging a tariff war, trade war or any other kind of war.”

“I want to reiterate that the Chinese people have never feared evil or ghosts, nor have we ever bowed to hegemony or bullying. Pressure, coercion and threats are not the right ways to engage with China. Trying to exert maximum pressure on China is a miscalculation and a mistake".

View attachment 3258605


Senior JF economist and Geopolitics expert and analyst.

Mpaji Mungu Chaliifrancisco PSL god Mufti kuku The Infinity

Nyau de adriz
 
Oya Jombis nishakukataa na kuacha kukufuatilia , Mimi nina deal na yangu sikuQuote Wala kukutag lakini wewe bado unaendeleza vita , shida nini ?

Sio kwamba siwezi vita au nakuogopa kama unavyojidanganya , hapana bali nimebadilika na ogopa mtu akiamua kukupuuza na kukuacha huru ,basi jua kifuatacho akiibuka ni Makombora makali mfululizo.

Mimi mwezi mzima sitohangaika na wewe ukijirekebiaha nitakuacha mazima ila ukiendelea nitakuacha mpk muda nitakaona hapa nirudi ulingon , I warn you Mr Scumbag.....
Nyau de adriz le nyambulet enuchii
 
Ndio kilichobakia maamaee hadi tuache kunya maporini na tuwe na nidhamu ya kunya ndo tutaacha kusifia lugha ya mkononi maamaee.

Nyau de adriz
umesahau na kuzaliana kama panya huku tukitegemea misaada🤣🤣😂😂 Waafrica 🚮🚮
 
You, Mr. Scumbag, if you don't want peace and insist on your aggression and stupidity, you will face devastating consequences. You should know that I have thousands of ballistic missiles, but for now, I am patient and waiting for the right time to fire a ballistic missile at you and your supporters.

More refined:

Mr. Scumbag, if you refuse peace and persist in your aggression and foolishness, you will face devastating consequences. You should know that I have thousands of ballistic missiles, but for now, I am patient and waiting for the right time to launch them at you and your supporters.
Shukrani sana mkuu msaaa.
 
Back
Top Bottom