Strong ladg
Senior Member
- Jul 15, 2021
- 170
- 445
China imezuia uuzaji wa madini muhimu ya gallium, germanium na antimony kwenda Marekani.
Madini hayo yanatumika katika utengenezaji wa vifaa vya kielekroniki pamoja na silaha.
Katika taarifa yake kuhusu zuio hilo,wizara ya biashara ya China imesema China imeamua kufanya hivyo kwa sababu za kiusalama.
Hii inatafsriwa kama majibu ya China kwa Marekani baada ya Marekani kuzuia usafirishaji wa baadhi ya vifaa vya kielekroniki kwenda China.
Marekani ilifanya hivyo ili kudhibiti ukuaji wa kasi wa teknolojia ya akili mnemba AI nchini China.
Chanzo
New York Times
"China Announces a Ban on Rare Minerals to the U.S. - The New York Times" https://www.nytimes.com/2024/12/03/world/asia/china-minerals-semiconductors.html