Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rare earths China ana umiliki mkubwa sana.Marekani ina madini mengi google uelewe
Na USA 🇺🇸 akiendelea kukaza fuvu na kujifanya kutumia maguvu mengi mwisho wa siku ataishia kubweka halafu wenzake haooo wanakata anga.Kama mataifa 5 tu makubwa ya Brics yakiamua kweli kuweka unafiki pembeni na kusimama pamoja baada ya miaka 10 ijayo Nakuhakikishia USA 🇺🇸 ataomba na yeye ajiunge Brics.Hapa hakuna kurudi nyuma Changamoto zitakazojitokeza wakae pamoja wazitatueIlikua
Hata Uingereza walitawala dunia nzima leo wako wapiUS ni kama maji sharti uyanywe hata kama siyo safi na salama?
Ona huyu nayeSio kwa China,China ni nyangumi sasa sio rahisi kumvua,kheri hata papa unaweza kumvua.
Refer trade war ya 2018 USA alishindwa na China.
You misunderstood the concept.My point is if X is President and has not said anything about China, and Y is President-elect, who awaits his swearing-in in January 2025. Why does China act on what the President-elect said and not on the sitting President? What justification can China give for the decision China has taken?
Kuna jamaa anajiita PakiJinja anauliza hapo juu Trump kaingiaje bila shaka ndio hao hao unaowasema hawatafuti habari wao ni kukurupuka Moja kwa Moja kwenye topic.Huu uzi ni mgumu sana kama uhangaiki kutafuta habari😂
MchinaSema China amebana sources zote za metali adimu.
Hivi ule mlima wetu wenye metali adimu kule Chunya nani alipewa achimbe?
Mada hizi ni kubwa sana kwa ubongo wako kuelewa,wanaojua wameshaelewa.Ona huyu naye
Sasa kama wanayo mengi hayo ya China aliyopiga stop walikua wanachukua kupeleka wapi? Vibaraka mna tabuMarekani ina madini mengi google uelewe
Hajui kama more than 65% ya world rare earth minerals zinatoka China.Rare earths China ana umiliki mkubwa sana.
Akili yako ndio ilipoishia hapo! Kuna watu wanafanya hovyo saanaUSA ni sawa na maji, ni shariti mtu anywe apatapo kiu
WendaHajui kama more than 65% ya world rare earth minerals zinatoka China.
OK. On weapon manufacturers, I understand that China is not the only weapon manufacturer. Is it?You misunderstood the concept.
China announced the ban on Tuesday on the export of a number of minerals with military and technology applications to the U.S.
It was the day after Joe Biden (the sitting president) administration announced further curb on China (sanctions) on chips and not Donald Trump the president elect who await his inauguration..
To elaborate further for you, China semiconductors exports to US have been further curbed so that as a tit for tat China does the same banning exports of raw material to make phones and weapons especially at this crucial time with war in Ukraine the weapons manufacturers will definitely be affected.
Is as simple as that.
Kabisa naunga mkono hojaNa USA 🇺🇸 akiendelea kukaza fuvu na kujifanya kutumia maguvu mengi mwisho wa siku ataishia kubweka halafu wenzake haooo wanakata anga.Kama mataifa 5 tu makubwa ya Brics yakiamua kweli kuweka unafiki pembeni na kusimama pamoja baada ya miaka 10 ijayo Nakuhakikishia USA 🇺🇸 ataomba na yeye ajiunge Brics.Hapa hakuna kurudi nyuma Changamoto zitakazojitokeza wakae pamoja wazitatue
Yes, China is not the only weapons manufacturer.OK. On weapon manufacturers, I understand that China is not the only weapon manufacturer. Is it?
🤣🤣Kama vatican tu.
🤣🤣🤣Sasa kama wanayo mengi hayo ya China aliyopiga stop walikua wanachukua kupeleka wapi? Vibaraka mna tabu