China wamjibu Trump kwa vitendo yapiga marufuku usafirishaji wa gallium, germanium kwenda Marekani

My point is if X is President and has not said anything about China, and Y is President-elect, who awaits his swearing-in in January 2025. Why does China act on what the President-elect said and not on the sitting President? What justification can China give for the decision China has taken?
 
China hana ubavu kujitenga na US., technologia aliyonayo china imeasisiwa na Marekani
 
Trump kayakanyaga. Kaona anaweza kuendesha dunia kama anafanya deals za real estate za New York City.

Kam beep Mchina, Mchina kamjibu kabla hata hajakalia kiti cha urais.

The book to read is "Chip War: The Fight for the World's Most Critical Technology" by Chris Miller.

 
T
China hana ubavu kujitenga na US., technologia aliyonayo china imeasisiwa na Marekani
Teknolojia ni mchanganyiko wa mambo mengi yanayohusisha ugunduzi, uvumbuzi na uendelezaji.
Hata kama US alimpa mchina teknolojia kwa baadhi ya mambo, mchina hakulala; aliiendeleza teknolojia hiyo, na alikuwa na ya kwake, pamoja na zingine kutoka kote duniani.
Unadhani nchi zingine zote duniani hazina teknolojia zake ambazo zinaweza kuwa bora zaidi kuliko za US?
Kwa nini mpaka leo US anatumia injini za mrusi kurusha baadhi ya vyombo vyake angani pamoja na figisu walizonazo enzi na enzi?
Dunia ilikuwepo kabla ya kuundwa kwa US 1776; na hao wamarekani ni watu mchanganyiko kutoka mataifa yote duniani.
Hivyo vipaji vilivyoko US, vipo pia duniani kote.
Ndio maana hata kama US akimwekea vikwazo North Korea au Iran, makombora yanaundwa tu kila uchao na kujaribiwa.
Hakuna nchi duniani inaweza kujitosheleza mahitaji yake kwa asilimia 100; hata tajiri aliomba sindano kwa maskini!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…