Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Li Auto i6 ni 5 seater SUV iliozinduliwa hivi karibuni, ikija na option mbili za AWD na RWD.
Hii AWD ina motor mbili, moja mbele na nyingine axle ya nyuma. Inakuja na battery 102 kWh na inatoa 536 hp, na top speed yake ni 180 km/h.
RWD ina motor moja kwenye axle ya nyuma, na ina total 335 hp.
Gari itakua na range ya 500 km hadi 700 km, na itakua na 5C charging capability na inaweza kuongeza 500 km ndani ya 10 minutes.
Kwa ndani, i6 itakuja na roof mounted LiDAR, ADAS, V2L nk.
Gharama zake inakadiriwa kua $35,000 kwa sababu officially hawajasema bei.
Kazi kazi.