gabriel Heinze
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 512
- 685
Ndio.
Hata hiyo hali, Ina tegemeana ana toa nani.Msaada wa Hali na Mali. Utapata Hali.
Sport Utility Vehicle (SUV) ni magari yaliyojengwa kwa ajili ya kuhimili mazingira mbalimbali, yakiwemo barabara za lami na zisizo na lami. SUV zina sifa ya kuwa na mwonekano mkubwa, nafasi ya kutosha kwa abiria na mizigo, pamoja na uwezo wa kuendesha kwenye maeneo magumu kama milima au maeneo yenye matope.Maana sio kirefu.
Elezea kidogo boss🤝