SUV = Sport Utility VehicleSUV Maana yake nini?
ThanksSUV = Sport Utility Vehicle
Kimuonekano sawa, ila true test na ubora wa SUV unaonekana kwenye makorongo , sehemu ngumu, SUV zimekuwa designed kwa kazi moja tuLi Auto i6 ni 5 seater SUV iliozinduliwa hivi karibuni, ikija na option mbili za AWD na RWD.
View attachment 3381267
Hii AWD ina motor mbili, moja mbele na nyingine axle ya nyuma. Inakuja na battery 102 kWh na inatoa 536 hp, na top speed yake ni 180 km/h. View attachment 3381268
RWD ina motor moja kwenye axle ya nyuma, na ina total 335 hp.
Gari itakua na range ya 500 km hadi 700 km, na itakua na 5C charging capability na inaweza kuongeza 500 km ndani ya 10 minutes.
View attachment 3381270
Kwa ndani, i6 itakuja na roof mounted LiDAR, ADAS, V2L nk.
Gharama zake inakadiriwa kua $35,000 kwa sababu officially hawajasema bei.
Kazi kazi.
Hizi ndio zile urban SUV kama Tesla Model Y na X. Sio jamii ya kina Jeep, Cruisers nk.Kimuonekano sawa, ila true test na ubora wa SUV unaonekana kwenye makorongo , sehemu ngumu, SUV zimekuwa designed kwa kazi moja tu
Kwenda mahali ambapo other vehicles dont
So hii imepitia dhoroba za kina landcruiser, landrover na grenadier?
Sport utility vehicleSUV Maana yake nini?
KImwonekano iko vizuri; Je vipi kuhusu uimara:Li Auto i6 ni 5 seater SUV iliozinduliwa hivi karibuni, ikija na option mbili za AWD na RWD.
Tusifike huko Mh RaisDah hapa Kama sija uza jengo la chama Cha ma jobless pro max, basi ni la kataa ndoa
niki sema ma jobless pro max wachange, una hisi wata changa nini π πMkuu usifanye ivyo
Hahah hiyo ni hatari sana yaani chuma imekutana na bicycle imegeuka traffic case!!!
Li Auto i6 ni 5 seater SUV iliozinduliwa hivi karibuni, ikija na option mbili za AWD na RWD.