China yaanza kulazimisha wanawake kuachika mimba kwenye jamii ya waislamu wapunguze kuzaliana

China yaanza kulazimisha wanawake kuachika mimba kwenye jamii ya waislamu wapunguze kuzaliana

Suala la uislamu kuenea nisuala la muda tu yaani hata kama mnachukia na mtchukia
Hatuna shida ya kuenea ,tumeshaona aina ya waislam wanaokuja uzuri hawatakua tena na vimelea vya itikadi kali za huko uarabuni,,wengi wameshafanyiwa dilution na wamagharibi,,,leo hii kaa na muislam wa london, tofauti kabisa na muislam wa hapo somali au hata pemba, tunataka waislam kama wa london waongezeke tu
 
... waislam kawaida yao ni wabishi tu, suala la uzazi wa mpango, unaoendeshwa na serikali, kwa China linawahusu watu wa makundi yote ya kijamii na sio waislam peke yake!
Uzazi wa mpango hasa one child policy iliwahusu large ethnic group ambao ni Han Chinese pekee hao wengine minorities kama Uyghurs na wengine haikuwahusu kabisa
 
Hii China ambayo husifiwa sana humu na waislamu wa JF ndio hii inatumia kila mbinu za kila aina kuhakikisha hamzaliani huko, wanalazmisha hata mimba kuachika.

Kila siku mnaimba "death to America"................
========================

The Chinese government is taking draconian measures to slash birth rates among Uighurs and other minorities as part of a sweeping campaign to curb its Muslim population, even as it encourages some of the country’s Han majority to have more children.

While individual women have spoken out before about forced birth control, the practice is far more widespread and systematic than previously known, according to an AP investigation based on government statistics, state documents and interviews with 30 ex-detainees, family members and a former detention camp instructor. The campaign over the past four years in the far west region of Xinjiang is leading to what some experts are calling a form of “demographic genocide.”

The state regularly subjects minority women to pregnancy checks, and forces intrauterine devices, sterilization and even abortion on hundreds of thousands, the interviews and data show. Even while the use of IUDs and sterilization has fallen nationwide, it is rising sharply in Xinjiang.

Poleni brazaj
Uyghurs ni minority
 
... draconian = harsh and severe!
Kinachowaunganisha middle east hardliners with China it is simply they think that China is against US and the West whom they see as their common enemy. But in reality, China ni mbaya kwa foreign faiths including theirs kwa kiwango kisicho na mfano.
Matendo anayofanya marekani middle east hata angekuwa China nafasi ya marekani angechukiwa na watu wa mashariki ya kati
 
Tatizo wao wanazaliana kama kuku.
Agenda yao kuwa wengi duniani waeneze uislamu wao.
Sio China tu huko Europe ndio kabisa wameharibu.
Akija mmoja ataleta mpk babu yake wa miaka hata 90 waje wale mema ya nchi.
Kazi hawafanyi wapo tu kukusanya support zote unazijua wewe.
Sasa nani atakubaliana nao.
Waislam wapo China maelfu ya miaka na wala hawazaliani kwa fujo
 
Kwani kuna wachina ambao ni waislam? Nikiona nitashangaa! Bongo sijawahi kuona mmasai ni muislam, huwa nashangaa kuona mchaga, mhaya na msukuma akiwa muislam!, wazungu ndio kabisa nitashangaa zaidi!
Asa ukienda mbinguni ukamkuta yesu ni muislam c ndio utazidi kushangaa
 
uislam wa ulaya umechakachuliwa balaa, ni feki, tena huko ndiko unakoenda kufia badala ya kusitawi kama walivyopanga
Hahaha unajifariji umeishafika? Wewe upo Tukuyu ufahamu lolote wazungu wanauza Makanisa yanageuzwa Misikiti.
Wewe unaongea fikra zako za kilokole wasome wazungu wenyewe.

A report by the Pew Research Center predicts that the number of Muslims will equal the number of Christians by 2050. Global leaders would have to take these cha… Source: dw.com Report: Muslim population to grow fastest – DW – 04/03/2015
 
Asa ukienda mbinguni ukamkuta yesu ni muislam c ndio utazidi kushangaa
Mbingu na utamaduni wa kiarabu wapi na wapi kama waarabu wenyewe wanaukimbia na kuzamia Ulaya na Marekani.
 
Hii China ambayo husifiwa sana humu na waislamu wa JF ndio hii inatumia kila mbinu za kila aina kuhakikisha hamzaliani huko, wanalazmisha hata mimba kuachika.

Kila siku mnaimba "death to America"................
========================

The Chinese government is taking draconian measures to slash birth rates among Uighurs and other minorities as part of a sweeping campaign to curb its Muslim population, even as it encourages some of the country’s Han majority to have more children.

While individual women have spoken out before about forced birth control, the practice is far more widespread and systematic than previously known, according to an AP investigation based on government statistics, state documents and interviews with 30 ex-detainees, family members and a former detention camp instructor. The campaign over the past four years in the far west region of Xinjiang is leading to what some experts are calling a form of “demographic genocide.”

The state regularly subjects minority women to pregnancy checks, and forces intrauterine devices, sterilization and even abortion on hundreds of thousands, the interviews and data show. Even while the use of IUDs and sterilization has fallen nationwide, it is rising sharply in Xinjiang.

Poleni brazaj
Bibie una chuki na uislam, kuna muislam alikuphirrra ajakulipa pesa nn
 
Hahaha unajifariji umeishafika? Wewe upo Tukuyu ufahamu lolote wazungu wanauza Makanisa yanageuzwa Misikiti.
Wewe unaongea fikra zako za kilokole wasome wazungu wenyewe.

A report by the Pew Research Center predicts that the number of Muslims will equal the number of Christians by 2050. Global leaders would have to take these cha… Source: dw.com Report: Muslim population to grow fastest – DW – 04/03/2015
hilo la wazungu kuuza majengo hayo lipo wazi ila hawawi waislam typically. Uislam wao utakuwa ni uislam wa kimagharibi, uislam chotara na feki
 
Kama ndio mnavyodanganywa huko kama kuna siku uislamu utakuja kufa poleni sana😂
Mtakufa nyinyi na sisi ila sio uislamu poleni sana

uislamu haufi, labda shetani afe kwanza maana ndiye wenu, ni kama leo useme ufreemason utakufa, kwanza hizi siku za mwisho ndio shetani anapata wafuasi wengi, yaani uislamu utazagaa sana maana shetani anafanya kazi usiku na mchana, anawatumia mchinje watu kabla hawajatubu.
 
Waislam wapo China maelfu ya miaka na wala hawazaliani kwa fujo

Tatizo mnapenda kujazana ujinga na uwongo, uislamu wenyewe umeasisiwa na muarabu about 1,500 years ago, yaani miaka 500 baada ya Yesu, wewe unasema waislamu wamekua China maelfu ya miaka.
 
Back
Top Bottom